Baada ya PM Abiy Ahmed kutangaza kwenda msitari wa mbele wa mapigano vitani. Kumekuwepo na wimbi kubwa la watu maarufu kutangaza kwenda vitani pia.
Vita ni propaganda hapa tayari Watgray...
Sheria ya kuitambua bangi kwa matumizi ya dawa na viwandani imepitishwa rasmi nchini Malawi
Sheria ilitungwa 2020 Augusti ambapo kwa sasa imepitishwa na inatambulika kama Kanuni za Bangi 2022
Chemba ndogo ya bunge au "Lower House" ya Ujerumani imepitisha kwa pamoja uamuzi wa kumfanya bwana Olaf Scholz kuwa Kansela mpya wa Ujerumani.
Vyama vya SPD cha Scholz, Green na FDP kwa pamoja...
Serikali Nchini Burkina Faso imeongeza muda wa kusitishwa Huduma za Intaneti, ikielezwa hatua hiyo inatokana na sababu za Usalama na Ulinzi wa Taifa.
Huduma za Intaneti zilikatwa kutokana na...
MAKALA IFUATAYO INAELEZEA TUKIO HILO KATIKA NCHI KAMILI. UKISOMA MARA NYINGI, NDIO MAHALI PA KUSOMA TENA. NI UJUMBE WA THAMANI SANA WENYE MATOKEO YA THAMANI SANA.
TAFADHALI SHARE NA WAPENDWA...
Kampuni ya Apple imeifungulia mashtaka kampuni ya nchini Israel ya NSO iliyotengeneza programu ya Pegasus kwa madai ya kuathiri watumiaji wa vifaa na huduma zake.
Mashtaka ya Apple dhidi ya NSO...
Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Mohamed Hussein Roble ametangaza Hali ya Dharura kutokana na Ukame mbaya, akiwataka Wananchi na Jumuiya ya Kimataifa kusaidia wahanga.
Ukame mbaya umeripotiwa sehemu...
Mataifa kadhaa yametoa wito kwa Raia wake kuondoka Nchini Ethiopia kutokana na mvutano kati ya Vikosi vya Serikali na vile vya Tigray kuonekana unashika kasi.
Ufaransa imewataka Raia wake...
Siku ya Jumanne, Urusi ilizindua ndege yake mpya ya kivita na inayoweza kufanya misheni za kijasusi ya Sukhoi "Checkmate" katika onyesho la ndege mbele ya Rais Vladimir Putin.
Habari juu ya...
Katika ripoti yake iliyochapishwa Jumanne, shirika la Umoja wa Mataifa la mipango ya Maendeleo UNDP limesema takriban asilimia 60 ya vifo vitakuwa vimesababishwa na athari zisizo za moja kwa moja...
Tangu Mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 huko nchini Marekani,dunia imeendelea kukumbwa na Vitando vya Kigaidi kila wakati.
Kitu ambacho dunia na Serikali zote duniani zinashindwa kuwaeleza...
A senior Israeli army officer has said that recent joint naval exercises between the UAE, Bahrain, Israel, and the US were a preparation for a possible confrontation with Iran.
"We are...
Ujerumani ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza kuchanja raia wake wote na busta juu.
Inakuwaje tena inaongoza kwa maambukizi ya virusi vya corona hadi kufikia watu elfu 50 kwa siku?
Ripoti ya taasisi ya kimataifa ya IDEA imeiweka Marekani kwenye orodha ya mataifa yanayorejea nyuma kidemokrasia kwa mara ya kwanza, inayoashiria kuporomoka vibaya kwa taifa hilo kulikoanza mwaka...
Shirika la Msalaba Mwekundu limesema athari za janga la COVID19 kijamii na kiuchumi zimewaathiri zaidi Wanawake ulimwenguni kote.
Kwa mujibu wa Ripoti hiyo, Wanawake wameathiriwa zaidi na upotevu...
Wanajeshi watano wa Uganda wanaofanya kazi na vikosi vya Umoja wa Afrika nchini Somalia wamekutwa na hatia ya kuwaua raia saba nchini humo.
Wawili kati ya wanajeshi hao wamehukumiwa kifo, huku...
13/11/2021
Yafaa kusema wakati wa kipindi cha ukingoni cha Afrika Kusini na sera za ubaguzi wa rangi dhidi ya wasio weupe (wasio wazungu) watu wengi nchini humo ukijumuisha na baadhi ya hata...
Baada ya wiki kadhaa za maandamano, Jeshi la Sudan limemrejeshea Madaraka Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdalla Hamdok na kutangaza kuwaachia huru Wafungwa wote wa kisiasa.
Chini ya makubaliano...
Jamhuri ya Yemen iko Kusini na Kusini Magharibi ya peninsula ya Arabia
Ina idadi ya watu ya milioni kumi na moja na eneo la maili mraba 190,000. Ndio eneo pekee la peninsula hii linalopata mvua...
Jeshi la Sudan lilifanya mapinduzi ya utawala wa kiraia wiki kadhaa zilizopita. Lkn baada ya maandamano yasiyokoma ya wananchi leo hii jeshi limeufyata na kuamua kuurejesha utawala wa kiraia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.