International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kiongozi wa waasi anayepambana na wapiganaji wa serikali, amesema vikosi vyake vipo karibu na mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, na vinatayarisha mashambulizi mengine, akitabiri kwamba mapigano...
10 Reactions
50 Replies
6K Views
Jenerali mwandamizi aliyeongoza mapinduzi ya kijeshi hivi karibuni nchini Sudan Abdel-Fattah Burhan amejiteua tena kuongoza baraza tawala la mpito ikiwa ni hatua inayoashiria nia yake ya...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Malawi's President Mutharika treated for cardiac arrest Malawi's President Bingu wa Mutharika has been admitted to hospital after suffering a cardiac arrest. Mr Mutharika, 78, is...
0 Reactions
208 Replies
22K Views
Julian Assange amepatiwa ruhusa kumuoa mpenzi wake Stella Moris katika jela ya Belmarsh, BBC imeambiwa. Mwanzilishi huyo wa mtandao wa Wikileaks na bi Moris wana watoto wawili wa kiume , ambao...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Inakuwaje wanaJF! Ni miezi michache mwaka huu tu ilikuja kugundulika kumbe Bill Gates alilazimishwa kujiuzulu kwenye board ya Microsoft na kujikita zaidi katika faundesheni yake na aliyekuwa mke...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Wimbi la 4 la corona laitikisa Ujerumani watengenezaji wa chanjo Pfizer 11.11.2021 Ujerumani imeripoti kiwango cha juu kabisa cha maambukizi ya virusi vya corona kwa siku moja, baada ya zaidi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
FW de Klerk, rais wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Bw de Klerk, ambaye pia alikuwa mhusika mkuu katika kipindi cha...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Bilionea Elon Musk amewataka wanaoshughulika na Mradi wa Chakula Duniani (WFP) kuonesha namna dola Bilioni 6 itakavyoondoa tatizo la njaa duniani. Mkurugenzi wa WFP, David Beasley aliomba fedha...
4 Reactions
136 Replies
54K Views
Pichani Ni Raisi wa Ufaransa Emmnuel Macron akiwa na Mkewe kipenzi (First Lady), Brigitte Macron. Hawa wawili wanapishana kwa miaka 25. Mama amezaliwa 1953. Macron ndiye mdogo kabisa nyumbani...
16 Reactions
78 Replies
10K Views
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi amewafuta kazi mawaziri wa ulinzi na mambo ya ndani, akihoji uwezo wao wa utendaji kazi wakati nchi hiyo ikipambana na uasi wa wanamgambo wa kiislamu kwa miaka minne...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Vyombo vya habari vya Palestina vimeripoti kuwa, Mahakama ya Kijeshi ya Ukanda wa Gaza imewahukumu kifo majajusi sita wa utawala wa Kizayuni wa Israel. Mahakama ya Kijeshi ya Ukanda wa Gaza...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Afisa wa afya katika Jimbo la Kwilu, takriban kilomita 680, mashariki mwa Mji Mkuu wa DRC, Kinshasa alimeviambia vyombo vya habari kuwa karibu watoto 7,000 waliambukizwa na kwa sasa wanatibiwa...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
CONGO REFUGEES IN UGANDA... Just like we predict the start of the rainy season, the WAR season has started in the eastern part of DRC. Fighting has erupted in Eastern Congo leading to a heavy...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Tanzania we have PEACE. That is our brand! Nchi nyingi za Africa zinafanana. Nahisi ndio maana hata nje ya Africa wengine hudhani Bara lote ni nchi moja tu. Kwanini zinafanana? Ukiondoa zile...
7 Reactions
90 Replies
9K Views
Ikiwa imepita miezi 18 sasa tangu serikali ya muda ya Sudan iafiki kumkabidhi mtawala wa zamani wa nchi hiyo, Omar Hassan al Bashir, kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), Waziri wa Masuala ya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Zion Clark is a wrestler and athlete who dreams of becoming a multi-time Olympic champion. He was born without legs as a result of a rare genetic disorder called Caudal Regression Syndrome...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera amewaomba Wananchi kuwajibika linapokuja suala la Maendeleo ya Taifa, badala ya kupeleka madai hayo kwa Wanasiasa Amesema anapokea mamia ya SMS kwenye simu yake...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Watoto wapatao 25 wenye umri kati ya miaka mitano na sita wamefariki baada ya darasa lao kuungua moto Wengine kadhaa walijeruiwa wakati wa ajali hiyo ya moto ambayo ilitokea Jumatatu asubuhi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkutano wa 26 wa Nchi Zilizosaini Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP26) ulifanyika mjini Glasgow, Uingereza, na ulijadili masuala ya hali ya hewa yanayofuatiliwa...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Na Fadhili Mpunji Mwaka huu China inaadhimisha miaka 20 tangu ijiunge na Shirika la Biashara Duniani WTO. Tangu mwaka Novemba 2001 China ilipojiunga na Shirika hilo mjini Doha, uchumi wa China...
2 Reactions
3 Replies
864 Views
Back
Top Bottom