Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,606
- 729,503
Usiku wa siku kama ya leo miaka mitano iliyopita ndio ulikuwa wa mwisho hapa duniani kwa mtu aliyekuwa anatafutwa zaidi Osama bin Laden.
Aliyefanikisha mpango huu kwa sehemu kubwa kwenye kufichua makazi halisi ya Osama ni Dr. mpakistan ambaye aliahidiwa donge nono (halitajwi) na wamarekani pamoja na ahadi lukuki ili akubali kufanya chanjo bandia eneo lililohisiwa Osama yupo.
Wahenga wanasema penye udhia penyeza shekeli Dr wa watu maskini akaingia mkenge akawezeshwa kila nyenzo akafanikisha alichotumwa!Osama akauawa.
Leo hii ni mwaka wa tano daktari huyu anaoza kwenye jela za Pakistan wamarekani wamemtelekeza kama toilet paper baada ya kutumika.
Wamarekani wanasherehekea 5th anivessary ya kifo cha adui yao mkubwa huku mtu muhimu akiwa hakumbukwi na kawekwa kwenye makaburi ya sahau akipata mateso mengi jela.
Jipendekeze kwa mmarekani lakini tambua akishamaliza kukutumia amemaliza...haachi viporo