International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ethiopia kuna vitu vya kujitafakari ila imechelewa kwa sababu fundisho ilolipata sasa ndio saratani ambayo nchi za afrika na sehemu nyingi kuanza kujitokeza. sijui kuna uzi gani ! kama * "...
8 Reactions
226 Replies
20K Views
Na Pili Mwinyi Novemba 16, rais wa China Xi Jinping na mwenzake wa Marekani Joe Biden walifanya mkutano na kuzungumza kwa njia ya video. Huu ukiwa ni mkutano rasmi wa kwanza tangu Biden aingie...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
A toxic haze has blanketed the streets of Delhi since the festival of Diwali Authorities in the Indian capital, Delhi, have shut all schools and colleges indefinitely amid the worsening levels of...
0 Reactions
1 Replies
631 Views
Umoja wa Mataifa (UN) umesema takriban watu 1,000 (wengi kutoka Tigray) wanashikiliwa katika Miji mbalimbali Nchini humo tangu Hali ya Dharura ilipotangazwa Novemba 02, 2021 Maelfu wamefariki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
LONDON — Drugmaker Pfizer Inc. has signed a deal with a U.N.-backed group to allow other manufacturers to make its experimental Covid-19 pill, a move that could make the treatment available to...
0 Reactions
1 Replies
751 Views
Mahakama ya juu zaidi nchini DRC imeamua Jumatatu (Novemba 15) kwamba haina uwezo wa kumhukumu aliyekuwa waziri mkuu Seneta Augustin Matata Ponyo. Seneta mteule wa bunge la sasa, Augustin Matata...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu bwana mdogo ni mtoto wa Garang,Juzi kati amefukuzwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri la Sudan Kusini baada ya kuingia akiwa amevaa swag zisizo na hadhi ya Uwaziri.Rais akamtimua toka...
7 Reactions
279 Replies
100K Views
Bibi Justin ni mkazi wa kijiji cha Bwelanga, wilaya ya Wakiso, nchini Uganda. Siku hizi anafurahi sana, kwani kutokana na mradi wa msaada wa “Wancuntong” uliotolewa na China, kampuni ya China...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Makundi 9 yanayopiga vita serikali ya Ethiopia, yametangaza kuunda muungano hii leo ili kulazimisha mabadiliko ya kisiasa nchini humo. Hatua hiyo inaongeza shinkizo dhidi ya Waziri mkuu Abiy...
3 Reactions
58 Replies
5K Views
Mtoto wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi ametangaza rasmi nia yake ya kuwania urais katika uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Desemba wenye lengo la kumaliza miaka kadhaa ya...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya ukimwi VVU. Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Idadi ya waliouawa tangu jeshi kuchukuwa tena madaraka nchini Sudan imefikia watu 23 kufuatia wengine wanane kupoteza maisha ndani ya siku tatu zilizopita, huku raia wakiendelea kuandamana...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Marufuku kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa na kupimwa COVID-19 imeanza kutekelezwa Nchini humo Imeelezwa kuanzia Desemba 01, 2021 Wananchi hawatoweza kuingia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JOHN FRANCIS RAIA WA MAREKANI ALIYETEMBEA KWA MIGUU MIAKA 22 AKIIZUNGUKA MAREKANI KUHAMASISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA Umewahi fikiri kuwa unaweza kukaa kwa siku au miaka mingapi bila kuzungumza...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Bwana Sani Dangote mdogo wa tajiri nambari moja Africa ameaga Dunia huko Marekani. === Sani Dangote, the vice president of theDangote Group and brother to Aliko Dangote, is dead. Mr Dangote...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu salaam! Mara ya mwisho mwaka jana huyu mtoto wa pili wa marehemu Col. Muamar Gadaffi nilisikia amefutiwa hukumu yake ya kifo kule Libya, baadaye ikasemekana alitolewa gerezani lakini bado...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mzuka wanajamvi! Wa Ethiopia wengi walioko nje Diaspora wanapitia wakati mgumu sana kwasababu ya ndugu zao nyumbani wanayopitia. Sasa hivi wengi hawajui kama ndugu zao wako hai au wamekufa. Simu...
8 Reactions
46 Replies
5K Views
Serikali ya Austria imeweka 'Lockdown' ya Nchi nzima kwa watu wasiopata chanjo dhidi ya CoronaVirus. Hatua hiyo inalenga kupunguza kasi ya maambukizi katika Taifa hilo. Mamlaka zimekuwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu watano wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa wakati wa maandamano ya kudai utawala wa kidemokrasia nchini Sudan hapo jana Jumamosi. Haya ni kwa mujibu wa kamati kuu ya madaktari nchini Sudan...
1 Reactions
3 Replies
896 Views
Back
Top Bottom