Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Nov18 Lithuania iliidhinisha mamlaka ya Taiwan kuanzisha ofisi ya mwakilish wa Taiwan nchin Lithuania bila kujal upinzan wa China
Wizara ya mambo ya nje ya China imetoa taarifa ikisema hatua hii imekwenda kinyume na ahad ya siasa iliyotoa Lithuania ktk taarifa ya kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya pande hizo mbili,kuharibu mamlaka na ukamilifu wa ardhi ya China.
China inaipinga vikal hatua hii ya Lithuania na kuamua kushusha kiwango cha uhusiano kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili hadi kiwango cha (charge d'affaires)
Kwa mwenye kujua mambo ya kidiplomasia hii levo ya charge d'affaires inakuwaje?