Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Natafuta mganga wa kienyeji aliye mkweli. Kwanza sijui kwa kumpata, na wala sijui sifa za mganga wa ukweli, ila wale waendao kwa waganga naomba mnisaidie kwa hili. Shida zangu hasa ni:- kuliteka...
0 Reactions
51 Replies
22K Views
Naomba munipatie mganga anayeweza kutibu maradhi ya mazingaombwe ambaye mgonjwa huyu hataki kusema na mtu yeyote ule nyumbani hata mama ake wa kumzaa.....na vile vile na maradhi mengine
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Eeh bwana eeh ni yule yule Mr. Liverpool A.K.A bingwa wa EPL na bingwa wa NBC PL (Mwananchi). NB:- Naleta uzi huu si kwa lengo la kutangaza biashara au vipi ila ni KUTOA USHUHUDA WA MAMBO YA...
50 Reactions
142 Replies
14K Views
Habari Wana Jamvi, Wakubwa Zangu Shikamoo. Natumaini Mungu Anabariki kwa Kila Changamoto mpya mnazopitia Naombeni Ushauri, Maoni, Kujuzwa kuhusu Hali Nayopitia kwa sasa Nimekumbwa na Tatizo La...
11 Reactions
136 Replies
12K Views
Hivi kuna faida ya kujifunza Kichina? Maana naona sikuhizi kuna translators kibao kwenye devices zetu, kuna AI zinasaidia kwa kiasi kikubwa kurahisisha mawasiliano mpaka kuna muda najiuliza kama...
5 Reactions
27 Replies
498 Views
1. Yesu alijulikana kuzaliwa kwake itakuwa wapi, atakavyofanyakazi zake na kuondoka hapa duniani itakuwaje kwake kupitia maandiko (Biblia). 2. Hata ujio wake wa mara ya pili, utakuwa ni ule ule...
11 Reactions
61 Replies
3K Views
#HABARI Mwanamke mmoja jijini Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina Gift Mtanda, amekumbwa na mkasa mkubwa baada ya nyumba yake kupigwa mnada kufuatia mkopo wa benki alioudhamini kwa rafiki wa...
0 Reactions
18 Replies
463 Views
Wakuu sasa tuko kipindi Muhimu kcha Pasaka kinachoanza na Kwaresma na kuhitimishwa kwa siku Muhimu yaani Alhamisi Kuu, Ijuma Kuu( Siku ya Mateso ya Yesu Msalabani) na hatimaye kufufuka kwake ...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Habari ya wakati huu, IT and Communication Officer ni Mtu wa muhimu sana kwenye Taasisi yoyote hasa katika ulimwengu wa Sasa wa teknoligia IT and communication Officer anafanya Kazi Kama...
1 Reactions
0 Replies
183 Views
Ni usiku mida ya saa 2 usiku,namsikia mke wangu akimwambia mdada wa kazi fungua geti,akaenda kufungua,gari nyeupe ikaaingia.Sikuwa najua ni kina nani,ghafla naona watoto 2 mmoja wa kike na mmoja...
12 Reactions
52 Replies
1K Views
Mtu anakusalimia " Mamb" Anakujibu "Pow" Anakuuliza "Mzm" Anaendelea "xaxa uk wp? "Xipajui" "Xamahan" "Dad xamahan nmekuj kwak xikuon uk wapi? Halafu Kuna hawa Sasa wanaoona aeiou ni mchosho...
25 Reactions
146 Replies
2K Views
Leo kariakoo msimbazi nyingi zilikuwa zinaonekana bajaji boda na dala dala za biashara tu magari ni machache sana bei ya mafuta sio poa watu wameyaacha magari nyumbani Kunapoelekea gari zenye...
7 Reactions
33 Replies
563 Views
CHADEMA hii ambayo naiita chama cha kudandia kila jambo linalotokea duniani na Tanzania isahau kuingia Ikulu, labda Mungu aamue kubadili mfumo wake wa Dunia ambao kwa malaki ya miaka haujabalika...
0 Reactions
9 Replies
209 Views
Wengine wanatetemeka, wengine wanakimbia wakiniona. sometime nashindwa hadi kupata madem kwasababu wananiogopa sana.. hii inasababishwa na nini ?
2 Reactions
37 Replies
527 Views
Maandiko Yasemavyo Kuhusu Manabii na Mitume wa Kweli na Uongo Huduma ya mitume na manabii wa uongo na hasa ya kinabii, ilitabiriwa tangu enzi za Agano la Kale, kwamba itakuwepo duniani, na sasa...
0 Reactions
2 Replies
403 Views
Sasa hivi mvua zinanyesha mikoani na hata Dar wakati mwingine Stop Over (kimara) huu ni mwezi wa pili hatuna maji, hii ni changamoto sana wahudumu wa DAWASA mtaani tunawauliza wanasema DAWASA...
1 Reactions
3 Replies
162 Views
Kuna wakati unafika mtu anachoka kuuliza na anaamua kuishi tu. Sio kwa sababu amepata majibu—bali kwa sababu majibu hayaji. Leo hii ukiwasikiliza vijana wengi wa Kitanzania, hasa kizazi cha sasa...
1 Reactions
1 Replies
247 Views
Nimekuwa nikisikia sana kuwa jiji la Tanga halikui, linabaki hivyo hivyo miaka nenda miaka rudi. Sasa sijawahi kufika Tanga, je madai haya yana ukweli wowote? Kama ni kweli serikali itafute namna...
8 Reactions
5 Replies
274 Views
My Take Tiba zingine ni upuuzi mtupu 😂 😂 ============ Wakati wanawake wakikabiliana na changamoto mbalimbali za kiafya zinazohusiana na sakafu ya nyonga, matumaini mapya yanaanza kuonekana kupitia...
2 Reactions
11 Replies
464 Views
Back
Top Bottom