Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya kufanya utafiti , Nilichogundua ni kuwa Usipokuwa Makini unafungwa( Akili ) Na wakikufunga Akili basi Fahamu hapo wamekumaliza . Mimi nimejionea haya Mambo yaani uchawi huu Victim au...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari, Nimeshikwa uchawi na jirani yangu! Hilikuwa hivi nimetoka zangu nyumbani naenda dukani nakutana na jirani mwingine ananiambia nenda kwa g amechanganyikiwa tena, nenda kamuombee (nina...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu naomba muongozo, hivi uchawi una faida gani kiuchumi? Maana wanaosadikika na waliowahi kujulikana kuwa wachawi maisha yao ni duni sana kias kwamba hata kupumua wanashindwa. Kuna majirani...
6 Reactions
61 Replies
4K Views
Hellow Naomba kujua kuna husihano wowote kati ya mapenzi na kuloga katika mapenzi na maana kwamba yaani umloge mtu ili akuoe au umuoe? Hasa watoto wakike wana amini kila mtu akiwa kenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wazee Hawa watu wamekuwa kero kwangu Mara nyingi San hutuma msg hz kwangu Je, kuna mwanajamvi yoyote anayepokea msg hz Je, hizi msg zinakwenda had kwa wnasiasa ama Ni mm tu wananishawishi...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Baada ya kumaliza chuo mwaka 2018 niliingia rasmi kwenye shughuli za kilimo hasa cha mpunga. Nimelima sana ila mwaka huu baada ya mama kuingia madarakani kidogo niliuza mchele kwa...
11 Reactions
52 Replies
4K Views
Watu 32 wakiwemo Watanzania 10 wamwtiwa kolokoloni Nchini Thailand Kwa madai ya biashara haramu ya Umalaya. https://x.com/i/status/2037994015094714505 My Take Serikali ifuatilie namna ya...
8 Reactions
58 Replies
1K Views
Juzi kuna rafiki yangu kutoka Urusi alifikia Chelsea Hotel iliyopo Lumumba street,Dar salaam. Alikutana na watu nje ya hoteli wakamshawishi kuwa watampa huduma ya usafiri wa kwenda airport siku...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Twende kwenye mada direct! Kuna Ustadhi ana duka la samaki wabichi mtaa mmoja huku Dar. Kaweka vijana 2 wanauza. Sijui ni ndugu zake au ni wafanyakazi tu. Hili duka la samaki bei ni ya kawaida...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wanajf Katika fikra zangu za kila siku hatimae nimegundua hili, Mtaji mkubwa wa utajiri ni ustaarabu, ukitaka ujenge utajiri kwanza kuwa mstaarabu, jenga kizazi kilicho na ustaarabu hata...
11 Reactions
56 Replies
4K Views
Hivi hizi nguvu haziwezi kutusaidia kuziondosha nuclear duniani, Kukomesha vita pale Ukraine. Kwenda kuchota hela world bank. Kwenda kuchukua technolojia ya kutengeneza simu kama I phone...
2 Reactions
16 Replies
839 Views
Tanganyika imefifia na itazidi kufifia. Ndani ya miaka hii minne ,Zanzibar imepiga hatua zaidi kwa mgongo wa Tanganyika Maisha ya watanganyika yamejaa hofu, ajira hewa, hospitali gharama zipo...
6 Reactions
19 Replies
519 Views
Kuna mafundisho ktk dini zetu hizi haswa walokole wanawapoteza watu , sioni kama kuna tatizo kwa mtu ambaye ana matatizo ya kiafya kwenda kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji hakuna ubaya wowote...
6 Reactions
62 Replies
2K Views
Habari. Natafuta mganga mkweli ndani ya Arusha nina tatizo linanisibu sana malipo yatafanyika baada ya tatizo langu kuisha. Kama uko arusha na unamjua mganga mkweli PM Thanks.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mshikaji wangu mmoja baada ya kumaliza Chuo mwaka 2014 na kukosa Kazi, aliingia kwenye biashara za M Pesa, Tigo Pesa na bank. Mpaka mwaka 2020 alikuwa amejenga nyumba kubwa na kuanzisha familia...
32 Reactions
68 Replies
4K Views
Jamani, niko serious, natafuta mganga wa ukweli kbs, nimeibiwa sasa nataka tu nimfanyie ushezi aliyeniibia, nimeibiwa laptop, na aliyeiba ni mtu wa karibu sana na mimi. Kwa yeyote anaeweza...
0 Reactions
55 Replies
14K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu, naomba kusaidiwa mtibabu wa aina hio , mana nina jamaa zangu wapo nje za nchi wana matatizo yao wakaniomba niwasaidie hili jambo nami nimeliletea...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu Habari Nahitaji Mganga Mwenye Uwezo wa Kumuita mtu Ndotoni Usiku na kumuuliza Chochote na Akajibiwa. Mwenye connection Yake Naomba
0 Reactions
9 Replies
641 Views
Habari zenu wana Jf, sijawahi wala kufikirika kwenda kwa mganga lakini kwa haya ninayoyapitia na yanayoendelea kuikuta familia yetu naombeni mwenye kumjua mganga haswa na sio kanjanja maeneo ya...
2 Reactions
161 Replies
36K Views
Mambo yangu ya kimaisha yamekuwa magumu sana, mambo hayaendi vitu havifunguki watu wamejiweka pembeni na mimi. Nahitaji taji spiritual support. Maisha yangu yamekuwa ya kuangaika kwa miaka na...
17 Reactions
204 Replies
7K Views
Back
Top Bottom