Muda mwengine Mungu anajibu maombi tofauti na unavyotarajia katika maisha yako
Unaomba Mungu akupe mtu sahihi wa kuoa au kuolewa, Mungu anavunja mahusiano yako ulionayo,
Hii Mungu anakuweka...
Tupunguze utegemezi wa mafuta.
1. Bajaji na Boda boda zote zinazofanya kazi kwenye majiji na manispaa ziwe za umeme. Tuache kusajili bajaji na bodaboda za mijini zinazotumia mafuta.
2. Mabasi ya...
Mada hii ni zao la mada hii ya kumbukumbu za ulimwengu
https://www.jamiiforums.com/threads/kumbukumbu-za-ulimwengu-world-archives.1995367/
Kumbukumbu za ulimwengu (World Archives)
Ni wazi dunia...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere ya Mwaka 2024/2025 iliyosomwa leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam imeonesha kuwa Deni la Serikali hadi...
Ndiyo asili ya Waafrka wengi, huwezi kumtoa mtu asili yake kirahisi rahisi.
Watu kibao nimewaona na chale za kwenye matambiko, niliwahi kuifanya kazi fulani iliyoweza kunipa access ya kuwaperuzi...
Niaje wadau, naona sahivi huko maeneo ya wazi yanaondoka
Biafra ilipondoka pembeni yake mbele ya chuo kikuu huria yalipokuwa yanapaki ma coaster special washazungushia bati, coaster zimeoondolewa...
Baada ya misheni ya kwanza ya Apollo 11 kufanikiwa, Rais Richard Nixon alituma zawadi kwa mataifa 135 duniani, ikiwemo Tanzania.
Zawadi hii ilijumuisha: Chembe nne ndogo za mchanga wa mwezi...
Habari ndugu zangu Mimi si mwandishi mzuri Ila naamini itasomeka tu. Kama kichwa cha habari hapo juu kisemavyo, Kiuhalisia kabisa hapo mwanzo ilikua ni jambo la kawaida sana kusikia mzee fulani...
Zongo ni aina ya uchawi wa kijinga na mwepesi kabisaaa kufanyiwa,uchawi huu hupendwa sana na wachawi wa mikoa ya Tanga na morogoro sehemu za Turiani na baadhi ya sehemu za mombasa,yaani huku...
Mwaka 1906 mwanasayansi na mtafiti Francis Galton alishuhudia tukio la kawaida katika maonyesho ya mifugo nchini United Kingdom. Kulikuwa na shindano ambapo watu walialikwa kukadiria uzito wa...
Kwa kawaida Huwezi Kumlazimisha mtu kuamini kile unachokiamini au kuiacha njia anayoiona yeye ni sahihi alafu wewe umuambie amepote!
Kwa muda mrefu tumekuwa tukiwasikia wanaoenda kwa waganga na...
Hiii ni hatari sana, Leo hiii kila mtu anajitokeza hadharani na kujitangaza kuwa amegundua dawa, kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaojitokeza kusema kuwa wamegundua dawa ya corona, najiuliza kuwa...
Kinda katika sayansi na mifumo ya kompyuta nchini Dr Ruthbetha Kateule (PhD) hatunae. Kwa umri huo wa Miaka 38 (1987-2025) na PhD kaipata majuzi. Naamini mirathi haitaleta shida labda vyeti kibao...
USHAURI KWA TAIFA.
MAPINDUZI YA USAFIRI WA UMMA YANAWEZEKANA.KWA NINI MABASI YA UMEME NI SULUHISHO BORA KWA SAFARI FUPI ZA CHINI YA KM 200?
Na: Revocatus James Ng'oja
Reha – Rombo – Kilimanjaro...
Waganga wa kienyeji ni watu wenye mchango mkubwa upande wa pili ndani ya ulimwengu.
Hapa kuna watu povu na maneno ya kejeli yata watoka kwa sababu hizi:
*Wengi wanawatumia kwa ajili ya mabaya...
Waganga wa kienyeji wamegawanyika katika makundi mawili.
1: Wanaotumia mitishamba kutibu bila kuhusisha mizimu au ramli au ushirikina. Hata nabii isaya aliwahi kutumia mitishamba kumtibu Mfalme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.