Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Usije ukaruhusu hata siku moja watu wakuzoee kupita kiasi. Acha wakuone unalinga, unavimba na unajisikia pia, kwa sababu watu wakikuzoea sana mazoea huwa yanaleta dharau. Jua kusoma nyakati...
21 Reactions
73 Replies
1K Views
Kwema humu ndani? Kwanza samahani kama kuna watu nitawakwaza kwa haya machache niliyoyashuhudia Sumbawanga na dhana ya uchawi wa sumbawanga. Kiukweli tokea nakua katika makuzi yangu nilikuwa...
7 Reactions
24 Replies
4K Views
Baada ya bei ya nishati ya mafuta kutangazwa kupanda kwa zaidi ya Shilingi 1,000 katika maeneo mbalimbali, huku kwetu Mbeya mambo yameanza kuchangamka, daladala nyingi za hapa town zimepotea...
3 Reactions
9 Replies
342 Views
Maisha hayako jana, na wala hayajafika kesho — yapo sasa. Huu ndio wakati wa kweli, muda pekee ulio mikononi mwako. Jana imebeba kumbukumbu, makosa na mafanikio, lakini haiwezi kubadilishwa. Kesho...
7 Reactions
17 Replies
287 Views
Anonymous
Hawa Askari wa Barabarani Geita - Mwanza, pointi za traffic zimekuwa nyingi sana, Buhalahala, Kasamwa, Igaka, Isheng'olo, Kilabera, Sengerema Mjini, Tabaruka, Nyampande, Daraja la Magufuli...
2 Reactions
3 Replies
147 Views
Hi, Watu wengi hapa Tanzania wanapenda uchawi mambo ya kulogana na wanaamini ivyo na wengi washaliwa hela zao nyingi na waganga wa Dar hakuna mganga bali kuna waganga njaa ambao watatoa utabili...
2 Reactions
112 Replies
4K Views
Kuna mabinti, wanawake na madem wengi wanachosha kuzungumza nao. Hawana uelewa wa kinachoendelea nchini, duniani, kwenye tech, siasa, uchumi na biashara wala mada pana. Mazungumzo yao ni kuhusu...
55 Reactions
232 Replies
4K Views
Bunzali Jidola (30), mkazi wa Kijiji cha Imalanguzu, Igunga mkoani Tabora, anadaiwa kumchinja na kumuua mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili kwa kutumia kitu chenye ncha kali, kumjeruhi mke...
4 Reactions
57 Replies
1K Views
Kupigana na maradhi mengine Ikiwa katika mji magonjwa yalizidi kwa watu mkubwa wa mji hupigisha ramli kusudi apate njia ya kuzuia magonjwa hayo yasizidi, pia apate kufahamu ni mambo gani yaletayo...
0 Reactions
4 Replies
809 Views
#SEHEMU YA KWANZA Naleta full documentary nilivyo husika kwenye janga la moto mlima kilimanjaro Kwanza Mimi nilishapitia mafunzo magumu ya jeshi 843Kj nadhani...
11 Reactions
152 Replies
15K Views
Gazeti la kila siku la Nipashe la leo limekuja na habari nzito inayoelezea namna ya mhasibu mkuu wa bank moja hapa nchini alivyotekwa na watu wasiojulikana kupigwa ,kuteswa kisha kuchomwa moto kwa...
19 Reactions
380 Replies
60K Views
Baada ya malalamiko kadhaa ya Wananchi kuhusu Stendi ya Nane Nane Mkoani Mbeya kuwa na changamoto ya kuwa na kiza wakati wa usiku kutokana na Taa kutofanya kazi, kwa sasa kituo hicho kina taa mpya...
3 Reactions
3 Replies
262 Views
Jumatano njema! Kuna ubaya kusema kila mtu anakula anakopeleka mboga? Wapo WaRC na Walokole wengi hukimbilia kwa waganga wa kienyeji na miilini wana chale za kutosha. Wana hoja, miaka ya leo...
1 Reactions
5 Replies
811 Views
Katika maisha kila mtu anapenda starehe za hapa na pale mfano kutalii n.k Kuna starehe zinazoweza kukupa furaha ya kudumu lakini kuna nyinginezo zinaweza kukupa sonona ya milele ambapo makovu...
68 Reactions
715 Replies
76K Views
Anonymous
Uchafu mwingi sababu kila nyumba ukiingia unakutana na uchafu hali ambayo siyo nzuri kiafya.
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Habari za mda huu wana jamvi .. juzi kati nlikuwa mikoa ya kusini mwa tanzania kikazi baada ya kufika nlipita kwenye baadhi ya wilaya na vijiji vichache nlipatwa na mshangao kidgo kila kituo cha...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama una ingia fb,na instagram Kila siku tuona matangazo ya waganga wa jadi yamejaa si kwa wazungu au kwatu weusi kwa wahindi ndo balaa mpaka kuna wengine wanafanyiwa matangazo na watu wakubwa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Huu uchawi unapendwa sana na watu bara san sana waliopakana na maziwa. uchawi huu usichukulie poa na wa asili sana ila kama unakwenda kupotea. japo wahindi wengi mjini bado wanaendeleza ila huku...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya kufanya utafiti , Nilichogundua ni kuwa Usipokuwa Makini unafungwa( Akili ) Na wakikufunga Akili basi Fahamu hapo wamekumaliza . Mimi nimejionea haya Mambo yaani uchawi huu Victim au...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom