chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 911
- 2,704
Wengine wanatetemeka, wengine wanakimbia wakiniona. sometime nashindwa hadi kupata madem kwasababu wananiogopa sana.. hii inasababishwa na nini ?
hapana mimi ni mtu wa kawaidaWewe ni pepo 😎😎😎
Uoga na kuogopaWengine wanatetemeka, wengine wanakimbia wakiniona. sometime nashindwa hadi kupata madem kwasababu wananiogopa sana.. hii inasababishwa na nini ?
pesa ninayo lakini hata wafanyakazi wangu wananiogopa lakini nina watreat vizuri sanaTafuta pesa
mimi sipendi waniogope kwasababu kuna vitu vingi navikosa kutoka kwa watu kutokana na hali hiiUoga na kuogopa
Usijali nitawaambiamimi sipendi waniogope kwasababu kuna vitu vingi navikosa kutoka kwa watu kutokana na hali hii
Hapana sifanani na mafwele na kuna baadhi ya wachache wakiniziea hawaniogopi wananipenda na wananieleza jinsi navyoogoowa huko njeKama una fanana na mafwele kwanini usi ogopwe
Basi utakuwa umelogwa nitafute nikusaidie 250k ya sadaka muhimu Red blackhapana mimi ni mtu wa kawaida
mimi kutegemea kubet sipendelei kabisa maana ni rahisi kupigika kuliko kupigaKukosa ajira sio mwisho wa maisha
Mkuu tusubir ligi irudi kuna mechi za moto
Acha ubishi kijanamimi siamini imani hizo pia siamini kwenye kilohgwa
Kanji haaminiki kabisa na hapendi fair kuna method nikiitumia nikawa namtandika mfululizo akaniblock. hana maana kabisaAcha ubishi kijana
Unanza kuchanganya ugali na juiceKanji haaminiki kabisa na hapendi fair kuna method nikiitumia nikawa namtandika mfululizo akaniblock. hana maana kabisa
Sasa sisi tufanye nini?
Inatuhusu nini?
Tukusaidiaje?
Lengo la huu uzi ni lipi?