Barabarani gari zimehadimika wamebaki vidume tu

Barabarani gari zimehadimika wamebaki vidume tu

bikira latifah

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
836
Reaction score
2,805
Leo kariakoo msimbazi nyingi zilikuwa zinaonekana bajaji boda na dala dala za biashara tu magari ni machache sana bei ya mafuta sio poa watu wameyaacha magari nyumbani

Kunapoelekea gari zenye injini ndogo kama ractics vitz ist zitawindwa mjini balaa
 
Yani mtu uwe na gari halafu iongezeke buku tu uanze kutoa milio,ukianza kutoa milio jua wewe uwezo wa kumiliki gar ulikuwa bado,lita 30 ya sasa inakuwa na ongezeko kama ya 30k hela ambayo ni bajeti ya mwanaume kwa siku ya kutoa tips kwa mabaamedi,traffics barabaran na wapiga vizinga vya bukubuku
 
Uko sahihi, ujue kuna watu bado wanaforce mambo..ila hilo sio ongezeko la kumfanya mtu apaki gari nyumbani
 
20260323_114300.jpg
 
Tatizo la hii Nchi yetu ni kwamba, Mafuta yakishapanda bei kama hivi basi kuja kurudi tena kwenye 2800+ itabaki Historia.

But acha tujipe muda.
 
Tatizo hii nchi yakitokea masuala kama haya wajinga na wezi huitumia fursa vilivyo kuwaibia wananchi..

Badala ya kupambana na kuhakikisha mnaokoa wananchi vipi, wao huona kama fursa kupiga pesa, rais mwenyewe kilaza , ufahamu mdogo, uwezo wa kutatua changamoto mdogo na hana mapenzi na uzalendo wa nchi hii.
 
Kigari changu nitakitembeza tu niwezavyo hata kama mafuta yatapanda vipi. Ni aibu kurudi nyuma na kuanza kutumia usafiri hafifu kisa tu mafuta yamepanda bei
 
Yani mtu uwe na gari halafu iongezeke buku tu uanze kutoa milio,ukianza kutoa milio jua wewe uwezo wa kumiliki gar ulikuwa bado,lita 30 ya sasa inakuwa na ongezeko kama ya 30k hela ambayo ni bajeti ya mwanaume kwa siku ya kutoa tips kwa mabaamedi,traffics barabaran na wapiga vizinga vya bukubuku
Hehee leo mjini gari Zilikuwa za kumulika au upo wapi
 
Huu ndio muda muafaka sasa wa kwenda Dar kutembea,barabarani hakuna kusongamana
 
Back
Top Bottom