Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii tabia ya watu kuweka taa kali za China kwenye magari imezidi mipaka sasa. Ni wakati muafaka Polisi waanze kukamata magari na bodaboda wanaofunga taa hizi. Na hii ni tabia moja mbaya ya...
7 Reactions
24 Replies
481 Views
Baada ya kuwafunga England leo , pia waliwasafishia uwanja baada ya mechi https://www.facebook.com/reel/832222049153547
2 Reactions
4 Replies
192 Views
Muda mwengine Mungu anajibu maombi tofauti na unavyotarajia katika maisha yako Unaomba Mungu akupe mtu sahihi wa kuoa au kuolewa, Mungu anavunja mahusiano yako ulionayo, Hii Mungu anakuweka...
6 Reactions
8 Replies
324 Views
Mnamo majira ya saa sita mchana, gari lililokuwa limebeba shehena ya mafuta AJET1 kampuni ya petro.com lililokuwa likitoka jijini Dar es laam kuelekea nchini Rwanda, kuacha njia na kuanguka...
1 Reactions
6 Replies
169 Views
Hasa hasa YasTanzania #YasTanzania hawa jamaa kila ukinunua umeme mara nyingi utakutana na changamoto ya kukosa token na ukiwapigia simu unajibiwa kirahisi tu kwamba jihidumie au subiri masaa 24...
0 Reactions
13 Replies
282 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa ni nadra kumpata Rais mwenye upekee wa kuacha majukumu ya Ikulu na kwenda porini kushiriki shughuli za kurekodi filamu. Akizungumza katika...
2 Reactions
7 Replies
205 Views
Maandamano ni haki ya kikatiba Tuna mpango wa kufanya maandamano Tanzania nzima kupinga ongezeko la bei ya mafuta ya petrol na diesel Kwa 26% Bei ya mafuta ilipanda Kwa 6% soko la Dunia ila hapa...
3 Reactions
7 Replies
359 Views
Anonymous
Wakala wa Vipimo Tanzania utekelezaji wa jukumu lao unaweka sana mianya ya rushwa hususani kwa sisi Wafanyabiashara wadogo. Unakuta kila mwaka wanataka urudie kutengeneza mzani uleule...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Tar 1 mwezi wa 4, dunia hua inaadhimisha sikukuu ya wajinga, ambapo watu wengi wanaitumia siku hii kuwafanyia watu utani au kuwadanganya ili waisherehekee vizuri siku ya wajinga wakiwa kama...
6 Reactions
8 Replies
396 Views
Ninawapongeza sana Vodacom Tanzania kwa hatua hii kubwa wanayokwenda kuboresha mfumo wao wa M-Pesa kwa kutumia teknolojia ya kisasa zaidi. Hii inaonesha dhamira yao ya dhati ya kuendelea kutoa...
1 Reactions
2 Replies
380 Views
Anonymous (8b17)
Hii barabara ni kero sana wakati wote wa kiangazi na mvua, ilifanyika sherehe ya kumkabidhi mkandarasi barabara mwezi Machi 2024, Nyanza Construction, mpaka sasa hakuna kinachoendelea makandarasi...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Anonymous
Kiukweli Mimi hii hali ya wakatisha tiketi wa mwendokasi kituo cha kimara kuweka salio kwenye kadi tofauti na kiasi cha fedha inanikata sana. Mara ya kwanza nilidhani ni bahati mbaya lakini mpaka...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Anonymous
Ni muda mrefu sasa, hii app ya NSSF haifanyi kazi lakini hela inapoingia unaingia ujumbe ukitaka kuingia kwenye App hiyo ili kuona Balance. Swali langu? 1. Je hiyo App imefungwa? 2. Na kama...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Juzi niliona mdau wa JamiiForums.com analalamikia kero ya chemba inayotililisha maji taka kando ya Soko Jipya la Kariakoo, ambalo lilizinduliwa katika siku za hivi karibuni. Ilivyokuwa awali...
0 Reactions
1 Replies
300 Views
Mda huu sheli ya oilcom wameshabadilisha bei ni rasmi bei ya Mafuta ni sh 3820 petroli na sh 3806 kwa diesel Maana.yake serikali.ishatoa baraka tayari Haya mnaoshabikia vita mpoo
5 Reactions
22 Replies
507 Views
Nilimpata mwanadada kwa baa .kabla nikae naye niliongea na mlinzi anijulishe kama huyu dada ataweka dawa kwa kinywaji changu nikiondoka. Nilimwita mwanadada huyo nikamnunulia bia pia mimi...
19 Reactions
95 Replies
2K Views
Dkt. Gwajima D Wasalaam, Ni tatizo la kawaida kwa watu wazima kupoteza uwezo wa kiakili au kupoteza kumbukumbu kadiri umri unavyokwenda. Hata hivyo kwa baadhi ya Watanzania hili suala...
1 Reactions
3 Replies
608 Views
Kuna mshikaji wangu anahela kibao anamiliki magari kali na mademu kwa mbele. Ila yeye n mwanachama wa freemason,amenishawishi nami niingie...
0 Reactions
17 Replies
265 Views
Hali ya sintofahamu ya ardhi inayodaiwa “kutembea” imezua hofu kubwa katika kitongoji cha Makandeni, Kijiji cha Marieni, Kata ya Chome wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kusababisha nyufa...
2 Reactions
9 Replies
366 Views
Back
Top Bottom