Mimi ni Mpenzi wa muziki na nikiwa na nafasi huwa nahudhuria events kadhaa ambazo top artists wa bongo wanaperforme, nimenotice jambo ambalo ni utaratibu ambao sielewi ulianzishwa na nani lakini...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa madarasa manne na ofisi moja ya...
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu
1.) Kila nchi ina Rais wake
2.) Kila nchi ina katiba yake
3.) Kila nchi...
Mnamo Mei 2019, Adeleye, mama aliyekuwa mfanyakazi wa kulea watoto mwenye umri wa miaka 73 kutoka nchini Nigeria, alihukumiwa kifungo cha miaka 15 jela huko Prince George’s County, Maryland...
Naomba msaada wa hili .
Ukienda mfano bar au mgahawa unasikia harufu za kupikwa za vyakula na pia asubuhi namapema unaonavitu vinaletwa soda , maji, na vyakula vibichi. Ili vipikwe .
Ila ukienda...
Android na iOS.
Tafakari nasi- hii ni shajara, Ina masomo yote ya mwaka husika, novena, tafakari ya siku na sala. Pia inafanya kazi bila mtandao.
Shajara- hii pia Ina masomo na sala ila haifanyi...
Kisa hiki kilitokea Mnamo Juni 2014, ambapo wakazi wa Happy Home Apartment Complex huko Houston, Marekani, waligundua kuwa walikuwa hawajamuona mtoto Ayahna, mwenye umri wa miaka 9, kwa karibu...
Uyu dada namfaham sabab alisoma nami shule Level nlimwacha kidogo madrasa. Akaja olewa na mshkaji ambaye tulikuwa naye ofisi moja. Kwenye harakati za mtu mweusi.
Wamefanikiwa kupata watoto watatu...
Wadau myimwike,
Nimefanya kazi baadhi ya sehemu za pwani, wakati wadau humu wanazungumzia kuoa au kutoa kuoa singo maza Wenzetu pwani hawana stori hizo.
Kuoa rahisi kuachana ni rahisi pia hawana...
Kuna taarifa zinatembea chini kwa chini kuwa huenda mtume Boneface Mwamposa akanyanganywa madhabahu ya Kawe baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi kuhusu namna anavyowatendea waumini wanaotoka...
Tusiache kufanya check up
Miaka kadhaa nilipompokea Yesu Kristo kama Bwana na Mokozi wa Maisha yangu, nakumbuka siku ile ilikuwa ni ya kipekee kiasi kwamba ndani yangu kuliingia pendo kubwa sana...
Wasusi mbalimbali nchini wameaswa kutumia programu maalumu ya kampuni ya Darling Hair inayojlikana kama ‘Loyalty’ kujiendeleza kutokana na zawadi wanazoshinda.
Hayo yamesemwa katika hafla ya...
Baada ya mdau kulalamikia tatizo la maji kutitirika katika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam...
Fr. Kitima amesema kuwa uwepo wa wagombea wengi wa nafasi ya Urais kutoka vyama mbalimbali katika uchaguzi wa mwaka 2025, tofauti na ilivyozoeleka, kulitokana na kuondoka kwa dhana ya ushindani wa...
Wataalamu wa afya wamehama kutoka kwenye Partography na kuhamia kwenye Labour Care Guide kama maboresho ya ku monitor Labour process mpaka pale mama anapojifungua ili tu kuhakikisha mama na mtoto...
MSHANA JR UMEOKA AU BADO UPO KWENYE HII FANI,KUNA JAMBO NATAKA TUMFANYIE MTU MMOJA UMU NDANI
Mtu wa vizinga secretarybird
Tumfute alafu tumchole Tena Kisha tumueke na tutitiii sa 6 palipo bak...
Kuna tatizo la watu hawa wanaojifanya matajiri kupitia Forex na kuigiza maisha ya kifahari?
Ukweli ni kwamba kuna mmoja alituaminisha sana. Mimi na rafiki yangu tukachanga shilingi milioni 5 na...
Kama ulikua hujui kuwa kua Dr dogoli AMEWAHI KUTAPELIWA PIKIPIKI KIZEMBE wacha nikufahamishe;-
Dogoli huyu kabla ya kuwa daktari,
Amewahi kufanya kazi tofauti tofauti kama ilivyo kwa vijana...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limesema Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 hadi 35 amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na Polisi, akidaiwa kuingia katika Benki iliyopo Rock...