Hakuna kilichokuwa promised kwetu wanaume, kila siku ni challenge mpya ya kutaka kuushinda uchungu na mateso
kila siku ni presha mpya, kila siku ni vita mpya, kila siku mpya ni upinzani mpya.
MKUU wa Majeshi mstaafu nchini Tanzania, Jenerali David Musuguri maarufu ‘Chakaza’ au Mtukula, ametimiza umri wa karne moja (miaka 100) tangu alipozaliwa Januari 4, 1920.
Hafla ya kuadhimisha...
Muandaaji na muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani, Tyler Perry amenukuliwa akisema kwamba "hatakuja kuoa maana anaamini ndoa ni utapeli"
Ninacho ogopa siyo ndoa, bali ni talaka ambapo...
Mitandaoni huko, Kuna tukio lilisambaa likimionesha jamaa, akiingia kwenye duka la nguo na kubeba simu, hakukuwa na mtu wao wanavo dai walikua store.
Ebhanaeee kama kawa CCTV camera ikamchora tu...
Leo Trh 6 SEPT 26
TANESCO WAMEENDELEA KUKATA UMEME NGERENGERE BILA TAARIFA YOYOTE.LICHA TA KKUFUNGULIWA BWAWA LA UMEME LA JULIUS NYERERE NGERENGERE IMEENDELEA KUSOTA NA UMEME KIDOG KWA SIKU...
Gari ya tax mtandao haiwezi kupata kibali cha LATRA mpaka ikakaguliwe na police na utaweza kupataLATRA na zoezi hili hufanyika kila mwaka kibali kinapoisha.
Na ukiachilia hilo mwezi ulioisha wa...
Dogo ameomba kusomea stashahada ya mionzi mwezi June alifanikiwa kuchaguliwa Mbeya college .
jana ameingia cas amekuta vitu tofauti hakuna tena admission status kuna hio taarifa
Sasa ameshindwa...
Kilwa Masoko Yakamilisha Bandari ya Kwanza ya Uvuvi Tanzania kwa 100%
Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi ya Kilwa Masoko umekamilika kwa asilimia 100%, ikiwa ni bandari ya kwanza ya uvuvi nchini. Mradi...
Imekuwa ni kawaida kusikia kuwa flani ana pesa za kichawi .....
Swali langu je ni kweri hizo pesa zipo?????
Na kama zipo zina mwingiliano gani na pesa halali ?
MOSHI, KILIMANJARO
Mkoa wa Kilimanjaro umejiunga na mikoa mingine inayotoa huduma za ardhi kwa wananchi kwa njia ya kidijiti kupitia mfumo wa e-Ardhi ambao unarahisisha na kuharakisha huduma za...
Rose Emanuel(75) mkazi wa Madale, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam ambaye amekuwa akilala nje ya makazi yake kwa siku 12 tangu Septemba 3 baada ya nyumba yake pamoja na...
Ogopa MATAPELI sijasaini LABEL yeyote nipo kwenye Label yangu ambayo taitambulisha hivi karibuni 7 october.
Hii ndo siku inshaallah taweka wazi, picha ya MSANII, jina la msanii, na jina la label...
Asilimia kubwa ya Millenium na Gen Z kizazi kisichokunywa chai asubuhi wamepitia hii. Wakishua hawawezi kuelewa .
Asilimia kubwa ya jamii ambayo maisha yake ni ya kawaida , mtoto kuoga mpaka...
Je, Kuwaombea Marehemu Msamaha Kunachochea Uovu Duniani, ni ulaghai, ina maana leo mtu anaua na kupora mabilioni, anasaidi jamii yake ili akifa imuombee aende mbinguni, tuacheni huu utapeli.
Baada...
Wahouthi wa Yemen wajaribu kushambulia mji wa Makka nchini Saudi Arabia kwa mara ya pili.
Mzozo unaoonekana kati ya mataifa au makundi ya Kiislamu Mashariki ya Kati, hususan uhasama kati ya Saudi...
Wana JF,
Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.