Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu kwanza habari. Poleni na majukumu kwa ambao tayari wako mahangaikoni kama mimi lakini pia Asubuhi njema kwa wanaoamka na waliozidi kung'ang'ania mashuka. Naomba nianze makala yangu...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
STAMICO imeanza maandalizi ya mradi wa uchimbaji makaa ya mawe, Kabulo Wilayani Ileje, Songwe, baada ya kukamilisha maandalizi ya eneo la mradi. Uchimbaji unatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Watanzania tunachelewa kuendelea kwa sababu ya kukosa taarifa kamili sasa tuna ugonjwa wa kuamini taarifa ya upande mmoja peke yake. Kuna watu nia yao haijulikani ni ipi kila kitu wanapotosha...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mtaani kwetu nilikokulia watu siwatambuii tena, zamani nilikuwa namjua kila mtu sasa hivi kila siku sura mpya, kila kukicha wanaingia watu wapya, hali hii inanikera sana,...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kipimo cha wema wako anaejua ni yule ambae unayemtendea huo wema na kama umetenda wema ambao ndani yake una hira (ukiritimba )usitarajie kulipwa fadhira kamwe .Usijivune umefanya mema wakati mema...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
UKWELI NI HUU Sababu nyingi inayofanya vijana wengi wa kiume kushindwa kutusua ni ''wanawake'' Kubaliana na mimi,Wengi wa vijana tunaona aibu kufanya shughuli flani kwa ajili ya kutaka kuweka...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mambo vipi wana jf... Nimeamua kuwa mzalendo kwa kusapot kampuni mama ya simu TTCL... Nataka kutumia lain zao za simu kwa data na voice Sasa swali langu kwao ni kwamba waniambie niamie mtaa gani...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
TTCL kwa kweli mmenifurahisha na bando lenu la toboa hatulali tunakesha kwenye torrents. Yaani buku kwa 10GB kuanzia saa 6 ucku kwa kweli ni raha tupu. Ombi langu kwenu harakisheni kusambaza...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Mtoto wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Ubena Tarafa ya Chalinze mkoa wa Pwani aliyefahamika kwa majina ya Karim Salum anasadikika kufariki dunia baada ya kuzama kwenye maji ya mto...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM akili zenu finyu sana. Sasa tatizo hapo liko wapi? Malisa alitumia takwimu kuonesha kwamba Lowassa anakubalika kiasi kidogo ndani ya CCM kuliko Dr.Slaa alivyokua anakubalika ndani ua CHADEMA...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Akaniambia; Basi tumshauri apige marufuku magari yote maana yanatoka nje, ili baiskeli zetu za miti zipate soko. Pia tupige marufuku viatu vyote vinavyotoka nje ili ung'ati (viatu...
1 Reactions
5 Replies
897 Views
Mwenyekiti wa chama cha Tanzania labour party (TLP) taifa ,Agustino Mrema amemshtaki kwa wananchi mbunge wa Jimbo la vunjo James Mbatia kwamba ameshindwa kutekeleza ahadi alizoahidi ikiwemo swala...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari wanaJF Wizi/uporaji wa kutumia bodaboda hufanywa na waendesha bodaboda (pikipiki), hiyo bodaboda huwa inakuwa na watu wawili dereva na mwingine huwa anakuwa kapakiwa nyuma huyu ndio...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
ORODHA MPYA YA UBORA WA VYUO VIKUU TANZANIA 1 University of Dar Es Salaam 2 Sokoine University of Agriculture 3 Muhimbili University of Health and Allied Sciences 4 Mzumbe University 5...
5 Reactions
110 Replies
13K Views
Mwenye ufahamu kama hapa Tanzania tuna explosives factories kama zipo naomba majina yake.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mmoja wa Askari Polisi mwenye rank ya nyota moja aliyewawa na magaidi Mkoani Pwani leo amepumzishwa katika nyumba yake ya milele Mkoani Mara. Nilichofurahia katika eneo la tukio ni kwa jinsi...
13 Reactions
59 Replies
9K Views
Katika nchi duniani zenye vituko Tanzania hipo hasa wapinzani wanabadilika kama vinyunga leo watasema kwanini serikali isifanye hivi kesho serikali ikifanya wanasema sio kipaumbele bora...
1 Reactions
5 Replies
837 Views
Ni kawaida kusikia hata kwenye vyombo vya Habari mtu akisema ,,sisi Wasomi" hivi ni kwa nini wao ndiyo wanaojiita Wasomi? Kwa hali ya kawadia watu wengine ndiyo waliopaswa kuwaita Wasomi lkn siyo...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Hivi mtu akitaka kumjua mungu lazima ajikite kutafuta majina ya kizungu kama ni mkristo au ya kiarabu kama ni muislamu? Hivi tumetekwa akili kila sehemu kweli? Yaani mtu akijiita Mwamfupe na...
5 Reactions
36 Replies
5K Views
'Mwalimu aliyehamia darasani amefanya hivyo bila mimi kujua, kashaweka mapazia vitanda na kufuli' - MWALIMU MKUU KANDAGA Mwalimu Mkuu Kandaga athibitisha Mwalimu mmoja kuondoa madawati na kuanza...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…