Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nashangaa sana namna ambavyo waafrika/tz tumekua Mashabiki wa Vita za maneno kati ya nchi Hizi Mbili Marekani na Korea Kaskazini bila Kuangalia Madhara yatakayotokea endapo Vita Hivyo Vitaibuka...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini mabibi na mabwana. Kichwa cha mada kinahusika kabisa hapo juu. Kutokana na kile kipato changu cha awali elfu 8 hadi 10 kwa siku, Nilipanga chumba kimoja Uswahilini, Ambapo nilikuwa na...
13 Reactions
151 Replies
15K Views
Hi guys, Fastjet is going to loose customers due to these announced, 1.Fastjet cancelling their 06h00 flight from Dar es Salaam to Mwanza and their 12h10 flight from Mwanza to Dar es Salaam as...
0 Reactions
1 Replies
642 Views
By Jacob Gallagher FIFTEEN YEARS AGO, Dzenad Bicic’s beard wasn’t just rare, it was disturbingly rare. “It was shocking and weird for everyone,” said the...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hivi ni mimi tu au tupo wengi katika hili..?? Kiukweli huyu jamaa ni muda mrefu sasa mimi binafsi sijamsikia aisee, na nimeamini kwamba vyombo vya habar vina nguvu sana. Vinaweza kutumika kama...
0 Reactions
4 Replies
895 Views
"Don't dare me." 'We spoke when the law was law, and when the President was President.' (angalia na kusikiliza kati ya 3:00 na 3:38).
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Akiona ukakamavu wao anacheeka na kimoyo moyo anasema-ukileta ubishi 2020 utakoma Akiona ile mibunduki yao-anajisemea yaani hii ya sasa Ushamba Wa kuonyesha bunduki utashamiri zaidi na vihele hele...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Tukiangalia parade za Korea kasikazini utapenda.Ukiangalia wanajeshi utatamani. Mimi kwa miaka mingi sioni mapya kwenye jeshi lenu.Gwalide ni lile la mwaka 47,kuvunja matofari ni kitu cha...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wasalaam Najua kila mmoja humu ni shahidi Tangu utawala huu wa awamu ya 5 uingie madarakani na kushindwa kuboresha maisha ya watz wengi hasa wa hali ya chini kuna haka kamsemo "wanaolalamika...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Karibia kila sherehe za kitaifa maonesho ya JWTZ yamekuwa kama maigizo vile.Ukiwaangalia ni sawa na kutizama mazinga ombwe. Wao wapo busy kuonesha raia namna wanavyoweza kuvunja matofali juu ya...
6 Reactions
30 Replies
7K Views
Ieleweke duniani kote kuwa hakuna nchi inayowapa uhuru bila kikomo waandishi wa habari.hii ni kwa sababu ya nature ya kazi yao ambayo mara nyingi huambatana na maslahi yao binafsi. Kumekuwa na...
0 Reactions
6 Replies
856 Views
Hbr Wana Jf. Naomba Ushauri Jinsi Ya Kuepuka Visasi Wanadamu Wananishawishi Kwa Kasi Sana Nilipe Kisasi Baada Ya Kumuua Mbwa Wangu Wa Sita Mfululizo Walimvunja Kiuno Nikamtibu Sasa Wamemuua...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau, Kuna psychologist yoyote humu ndani,anayeweza kutwambia kicheko kinasababishwa na nini haswa Au yoyote mwenye Idea? Manake,mda huu nimejikuta nacheka ka mtoto kwa sababu ya kijinga tu...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Najaribu kupata rough estimate ya gharama za kuagiza gari kutoka Japan na mahesabu yangu ni kama ifuatavyo Nimeingia website ya uuzaji magari na kupata gharama za gari kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati joto likipanda dhidi ya USA na NK jambo lakujiuliza ni kwamba Wakiduku akikosea kombora moja hata katika majaribio likaelekea Afrika ni nchi gani yenye uwezo wa kulisambaratisha kabla...
0 Reactions
4 Replies
921 Views
Mfano, wazazi wanakabila tofauti. Nikaamua kutokubaliana na zote kisha nikatunga kabila jipya kabisa au mchanganyiko wa Makabila mawili. Kisha watoto wangu wote na wajukuu wote na wajukuu wa...
3 Reactions
75 Replies
6K Views
Kiwanja kilichopimwa na kusajiliwa hutolewa hati.Hiki ni cheti ambacho mmiliki halali wa kiwanja husika hupewa. Zifuatazo ni faida chache za kumiliki kiwanja kilichopimwa na kusajiliwa; 1. Ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mzee mmoja alisema Waafrika tuna FRESH and UNUSED BRAIN. Siku tukisema tubadilishane BONGO wazungu watumie hizi zetu, dunia wanaweza kuihamishia MARS. GIZA LA NJAA Kwa mshtuko kabisa, 60% ya...
11 Reactions
34 Replies
4K Views
Niko hapa mbeya, leo nimejiunga kifurushi cha mwezi mzima ili nifanye kazi zangu vizuri kabisa Nimejiunga saa 2 asubuh ila mpaka muda huu saa 12 jioni hakuna connection ya internet Nimepiga...
3 Reactions
3 Replies
863 Views
Kwa mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa dunia hii tutashuhudia opareshen kubwa ya kupandikiza kichwa cha mtu. Tarehe ya opareshen ilishapangwa itakua mwezi wa 12,2017 opareshen itafanywa na...
10 Reactions
221 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…