Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nini kifanyike ili kipunguze hadha ya usafiri jijini Dar es saalam....?? Maoni yako ni mazuri zaidi tukichangia sote.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimefanya jitihada za kuwapigia kwa namba yao ya simu ya mezani lakini siwapati hivyo naomba mwenye mawasiliano nao anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sio kwa comment hiyo
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni gazeti la muda mrefu na bado linafuata maadili ya taaluma ya uandishi wa habari. Ndio nimesema! mengine ni ya udaku. Yana lugha za mitaani. Yana upendeleo wa wazi. Waandishi wasiojua lugha...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Miaka 21 iliyopita, familia ya Alfred Mwakikuti na Naomi Mshumbusi ilijaaliwa kupata watoto pacha, Maria na Consolata. Lakini hawakuwa pacha wa kawaida; walikuwa wameungana na hakukuwapo na...
3 Reactions
70 Replies
19K Views
Wakuu! Habari zenu? Poleni kwa changamoto mbalimbali za kimaisha ikiwa ni lengo kuweka sawa maisha yaende vizuri. Bila kuchelewa, kuna hili la kukosa amani au raha au furaha uwapo maeneo ya...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa nazan kichwa cha habali kinaeleweka hapo juu Tufanye nini kuwakomesha hawa mablog uchwara waache tabia ya wizi wa habali zetu za humu Tena kama vipi nitajie hapa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KATIKA kukabiliana na ujenzi holela nchini, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameziagiza halmashauri zote nchini kupiga marufuku wananchi kujenga katika maeneo...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
HAbari za jioni wakuu, Muda mchache uliopita nilienda kwenye atm mashine ya nmb kutoa pesa ila atm ikawa haina salio la kutosha hivyo nikaingia kwenye atm mashine ya crdb bank sababu kadi yangu ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu Tafadhalini naomba fikisheni ujumbe huu kwa watanzania wengi, tutaanza kuona mchele ukiuzwa kwa bei nafuu kuliko unga wa mhogo, tukafikiria huo ni mteremko. Mfanyi Biashara yeyote atakaye...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mh. Lukuvi, litafakari tena. How long will it take to have the whole of Tanzania get surveyed? Ages if not centuries. Hakuna ndoa mpaka cheti cha ndoa! yale yale! Ujenzi maeneo yasiyopimwa marufuku
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Bwana awe nanyi wapendwa, baada ya kamanda siro kupanda cheo nafasi yake inaendwa kushikwa na ngosha boy kutoka mwanza naye ni kamanda mihayo Kamanda mihayo kwa sasa ni mkuu wa opareshen ya...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Kampuni mbili za China zimekubali kujenga kituo cha viwanda jijini Tanga kitakachogharimu mabilioni ya fedha zikiwa jitihada za kuunga mkono mpango wa serikali wa kuifanya Tanga kuwa jiji la...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Wapendwa katika BWANA,habari za asubuhi,BWANA wetu asifiwe sana.wapendwa katika harakati za kimaisha nimejifunza hili jambo japo sijalifanyia ufumbuzi Kwamba katika Maisha usipuuzie ndoto...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mmea wa aina ya crowderso unasaidia kuongeza nguvu ya bahati yako Kama unajua matumizi mengine ya mmea huu shusha maoni yako
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Jamani kuna taarifa zinaenea juu ya kuhakiki majina yanayotumika kwenye Account ya mshara na Yale yanayooneka kwenye salary slip ni kweli? Yaani wanataka jina linaloonekana kwenye salary slip...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia wanafunzi wa Shule ya Msingi Msamadi iliyopo wilayani Hai kwa kukatatwa na bangi misokoto 59. Majira ya saa 10:30 katika kijiji cha kwa Sadala...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa masikitiko makubwa watu watau wakiwepo wanafunzi wamefariki baada ya kuzama katika dimbwi la Matope mkoani KAGERA halmashauri ya BUKOBA. R.I.P
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…