Kero ya usafiri jijini Dar, nini kifanyike kutatua hii adha?

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
233
Nini kifanyike ili kipunguze hadha ya usafiri jijini Dar es saalam....??

Maoni yako ni mazuri zaidi tukichangia sote.
 
KWANI DAR BADO KUNA SHIDA YA USAFIRI???Mbona wengine hatuioni na tunatumia daladala??!!!
 
wahamishe watu waplani upya ramani ya jiji,waweke barabara za kueleweka na miundo mbinu ya treni iboreshwe na kuongeza route.
Hakika pia wapunguze makampuni na ofisi za uma kuuwa sehem moja mjini kila wizara mjini kila shirika mjini kila kitu mjini
 
Tembeen kwa miguu iv nyie watu wa dar huwa haziwatosh vizur et
Kama wameukiza swali ambalo halikuslhusu unaweza kukaa kimya acha kujionyesha ujinga wako sehem kama hizo pia unaweza enda kule Fb ambako mambo ya maana hakuna
 
Back
Top Bottom