Daily News, gazeti pekee lenye hadhi Tanzania

Zeni2017

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
1,247
532
20c2a9a01f626ee502bb590fef03f4cd.jpg


Ni gazeti la muda mrefu na bado linafuata maadili ya taaluma ya uandishi wa habari.

Ndio nimesema! mengine ni ya udaku. Yana lugha za mitaani. Yana upendeleo wa wazi. Waandishi wasiojua lugha. Habari zisizothibitishwa. Na udaku wa hapa na pale.
 
Promo kazini.... Unadhani watu wote tutapoteza muda na fedha kuja kununua hilo gazeti lenye lugha ambayo inasumbua wengi?
 
Ni kwasababu linasomwa na watu wengi wenye elimu na waliokaribu na serikali..

Wanajua wakileta longolongo tu watazinguliwa kiurahisi
 
Akitokea mjanja akaanzisha gazeti la kiswahili lenye standard za Daily News ataua huu utitiri wote wa magazeti ya kipuzi.
 
Back
Top Bottom