Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,622
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa nazan kichwa cha habali kinaeleweka hapo juu
Tufanye nini kuwakomesha hawa mablog uchwara waache tabia ya wizi wa habali zetu za humu
Tena kama vipi nitajie hapa chin ili wajijue waache hiyo tabia sisi sio vyanzo vyao vya habali wawe wanatafuta kama vp watupotexee kabisa
Nawasilisha