Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimefuatilia michango na uamuzi uliotolewa na waheshimiwa wabunge kuhusu sakata la utomvu wa nidham wa wabunge wawili Mh. Ester Bulaya (Bunda) na Mh. Halima Mdee (Kawe) lakini naomba kutoa mchango...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
KWANINI SERIKALI INAMTESA MAREHEMU? AMEWAKOSEA NINI? Hali halisi ya mjini Moshi, kila mwananchi ameguswa na msiba na kila mmoja anajiandaa kwenda kumuaga marehemu Dkt Philemon Ndesamburo, lakini...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Huko nchini Uingereza, jamaa aliyefahamika kwa jina la Dave Murphy, hunywa glasi moja ya mkojo wake kila siku asubuhi na anausifu kwa kumwezesha kupunguza uzito kutoka kilo 127 hadi kilo 76. Kwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Iwe ni kweli au sio kweli lakini huyu kaongea kama wema
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Utakuta Mtu pengine hata hamjui Marehemu na kafanya tu kumsikia au hata wakati Marehemu alikuwa hai walikuwa na Ugomvi / Bifu / Chuki nae tena ile ya Kutukuka kabisa lakini siku ya Kumuaga pale...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii ndiyo misemo utakayoisikia mitaani, luninga hata na kwenye radio..(Trending).. Mimi kama mimi... Mama kama mama.. Baba kama baba.. Askari kama askari..(Kwani hawawezi tu kusema kama askari...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima yako Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ndugu Simon Sirro. Hongera sana kwa kuteuliwa kwenye nafasi hiyo ya juu. Hakika ulistahili na ndiyo maana taifa zima liiridhika kabisa na...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Katika mjadala unaondelea sasa hivi nimejifunza mambo machache yafuatayo (1). Kwanza sikujua kabisa kwamba Spika nae yupo katika list ya wachangiajia..amechangia baada ya Kubenea kama Dk3...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Tupo ndegeni tunaelekea Arusha kikaz tunataka tupate hoteli mubashara tutakayojivinjari hasa yenye swimming pool na maji moto mixture unaweza kututajia na kuleta picha halisi mrembo Tunataka...
5 Reactions
67 Replies
8K Views
Dar es Salaam. Timu maalumu iliyoundwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kufanya upya uchunguzi wa tuhuma za wizi wa mmoja wa watoto pacha katika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1:Anamtegemea Mungu katika kazi zake zote 100%... 2:Anategemea waganga na madawa 100% katika shughuli zake za kujitafutia kipato... 3:Anachanganya Mungu 50% na waganga 50% katika shughuli zake za...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi hawa jamaa wanaofanya wizi mitandaoni huwa wameadvance kiasi gani!? Maana hawa watu wana uwezo wa kufoward meseji hewa kwa wakala na kufanikiwa kumuibia wakala pesa. Tena wakati mwingine...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mwishoni mwa wiki iliyo pita kulikuwa nna tetesi jamaa kutembelea TZ ila haikuwa na uhakika kutokana na picha zilizo kuwa zinasambaa mitandaoni kuto jitosheleza kama ni kweli yuko...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Ndio maana tv za bongo zinakufa,hawajui wateja wao wanapenda nini, wao wanawalisha wateja wao habari ambazo wateja wao hawazipendi. Nitatoa mifano michache... Vyombo vya habari vya Tanzania...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
MKAZI wa Kijiji cha Mesanga Mugumu Wilayani Serengeti mkoani Mara, Wambura Muhonyi (32) amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kushiriki katika mauaji ya Nyabaturi Matoto...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nimerudi zangu home baada ya kukaa wiki nzima mashambani huko,nimewasha king'amuzi nimekuta mabadiliko makubwa karibia channel kibao za nje kama BET,Mtvbase,fox sports & entertainment,Mbc...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwa ufupi Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Beng’i Issa, imeeleza kuwa kabla ya kujiunga na TWB, Justine alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Biashara, Ushirikiano na Usambazaji wa Benki...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Sehba Khan Tende Mtume, swallallahu alayhi wa sallam, amesema, “Fungueni swaumu zenu kwa tende, au, vinginevyo, basi fungueni kwa maji, kwani ni twahara.” (Abu Dawud na Tirmidh). Chakula...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Nimeuza Gari kwa Raia wa Kenya, hakubadilisha jina langu, kutokana hayupo kwenye mfumo wa tin namba za Tanzania. Naweza kufanya jambo gani ili road linsece isiendelee kusoma, maana nahisi naweza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni muda sasa natafuta kuwasiliana na Mh. Edward Lowasa. Naomba mnisaidie e-mail yake au number ya simu yake ya mkononi. Niko serious, naomba msaada huo. Ninatafuta mawasiliano naye kwa mambo ya...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…