majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 453
- 635
Hii ndiyo misemo utakayoisikia mitaani, luninga hata na kwenye radio..(Trending)..
- Mimi kama mimi...
- Mama kama mama..
- Baba kama baba..
- Askari kama askari..(Kwani hawawezi tu kusema kama askari n.k. n.k...)
- Rais kama rais..
- Hii sehemu imeharibika, kwanini?...(halafu anajijibu mwenyewe..!)
- Sisi kama sisi...
- Wewe kama wewe..
- Hapa kazi tu..
- Mwendokasi..
- Bashite...
- Veti feki...
- Kutumbuliwa..
- Majipu au jipu...
- Fisadi..
- Zuzu..
- Mikataba..
- ....