Kumbila medi
Member
- May 31, 2017
- 99
- 69
Hivi hawa jamaa wanaofanya wizi mitandaoni huwa wameadvance kiasi gani!?
Maana hawa watu wana uwezo wa kufoward meseji hewa kwa wakala na kufanikiwa kumuibia wakala pesa.
Tena wakati mwingine wakishakufowardia ukijaribu kuingia kwenye menyu kuuliza salio inakujibu INVALID.
Naomba kujua ni mbinu ipi wanaitumia kufanya UDANGANYIFU huo kwa mawakala?
Nawasilisha kwenu wataalam wa mitandao mnisaidie please...!