Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,381
Leo nimerudi zangu home baada ya kukaa wiki nzima mashambani huko,nimewasha king'amuzi nimekuta mabadiliko makubwa karibia channel kibao za nje kama BET,Mtvbase,fox sports & entertainment,Mbc action etv africa etc zinaoneka kwa kifurushi cha 15,000.kipindi cha nyuma ilikua mpk ulipie 20,000.
kiroho safi kabisa naupongeza uongozi mzima wa Azam tv kwa maboresho haya ila yasiwe ya zima moto kwa ajili ya mwezi huu tu wa ramadhani nashauri iwe endelevu kwani kwa usawa huu 15,000 parefu sana haiendani na zile channel za kishamba mlizokua mnatupatia.