lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Ndio maana tv za bongo zinakufa,hawajui wateja wao wanapenda nini, wao wanawalisha wateja wao habari ambazo wateja wao hawazipendi. Nitatoa mifano michache...
Vyombo vya habari vya Tanzania viliripoti habari za mkutano mkuu wa CCM, bila kujali wateja wao wanapenda nini lakini mkutano mkuu wa CHADEMA vyombo vya habari vya ndani havikuripoti live hata kimoja bila kujali kama mkutano mkuu wa CHADEMA una watazamaji wengi
Mfano wa pili ni msiba wa mzee Ndesamburo,watanzania wengi sana wanataka kujua nini kinaendelea kwenye msiba wa mzee Ndesamburo na kwa chombo chochote cha habari kilicho makini kingejitahidi kuhabarisha umma ni kinaendelea kwenye msiba wa mzee Ndesamburo mjini Moshi,sasa kama hawaamini nilichokiandika,wasubiri waangalie ni wananchi wangapi watakaofutilia msiba wa mzee Ndesamburo kwenye mitandao ya kijamii.
Vyombo vya habari vikiendelea na tabia hii,vitabaki kama mapambo na pengine vitakuwa vinatazamwa na wamiliki pekee tu,wananchi tunahamia kwenye tv online,na mitandao ya kijamii.