GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Utakuta Mtu pengine hata hamjui Marehemu na kafanya tu kumsikia au hata wakati Marehemu alikuwa hai walikuwa na Ugomvi / Bifu / Chuki nae tena ile ya Kutukuka kabisa lakini siku ya Kumuaga pale Jeneza lake linapowasili tu eneo la tukio utaona huyo Mtu / hao Watu wanaparangana kutaka kulibeba na hata mwingine kuligusa tu kidogo ndipo anaridhika.
Je kuna siri gani iliyojificha hapa?
Nawasilisha na karibuni katika kuchangia.
Je kuna siri gani iliyojificha hapa?
Nawasilisha na karibuni katika kuchangia.