kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,033
- 2,124
Nimeuza Gari kwa Raia wa Kenya, hakubadilisha jina langu, kutokana hayupo kwenye mfumo wa tin namba za Tanzania.
Naweza kufanya jambo gani ili road linsece isiendelee kusoma, maana nahisi naweza kufanywa masikini bila sababu na hii serikali ya hapa kazi.
Tafadhali naombeni msaada wa ushauli.
Naweza kufanya jambo gani ili road linsece isiendelee kusoma, maana nahisi naweza kufanywa masikini bila sababu na hii serikali ya hapa kazi.
Tafadhali naombeni msaada wa ushauli.