Cesc Henry Sn
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 217
- 123
Habari wakuu,
Mwishoni mwa wiki iliyo pita kulikuwa nna tetesi jamaa kutembelea TZ ila haikuwa na uhakika kutokana na picha zilizo kuwa zinasambaa mitandaoni kuto jitosheleza kama ni kweli yuko hapa au nchi jirani hadi ilipo thibitishwa.
Cha kusikitisha serikali yetu upande wa wenye dhamana ya kusimamia maswala ya utalii walishindwa nini kutumia nafasi kumkaribisha hata kama alikuja kisiri siri ili kupata nafasi tukamtumia kututangaza nchi yetu hasa kwa yeye mwenye wafuasi milioni 37 kwenye mtandao wa Instagram huku watu maarufu kama Ronaldinho wakicomment kwenye post hizo
Sababu kinacho tia aibu ni hata post zake kwenye mtandao wa Instagram haja mention hata kidogo wapi alipo zaidi ya kusifia na kufurahishwa na mandhari aliyo kuwepo.