Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu Naomba kujua hivi hawa maprofesa wanaofundsha vyuo vya hapa bongo mfano pale udsm,mzumbe,sua,udom wanalipwa shilingi ngapi nataka nihusianishe na mchakato wa upatikanaji wake mana...
1 Reactions
20 Replies
13K Views
ASSALAMU ALAYQUM, YAAMANITTABAAL-ULLAA, Kwa yeyote mwenye suwali kuhusu kisiwa chenye marash ya karafuu (PEMBA) na wapemba, naomba aniuleze, nitamjibu kadri ya uwezo wangu. Najua kuna mengi...
3 Reactions
59 Replies
9K Views
Vyombo vya Habari vimeripoti taarifa tofauti kuhusu ujio wa boss wa Barrick kutoka canada akiwa na mwenyeji wake Rais Dr John Magufuli. Vyombo vya habari vya London vimekanusha habari ya Acacia...
11 Reactions
194 Replies
19K Views
Wana jamvi...Leo nimestaajabishwa na kusikia maiki mkubwa, kelele na matusi makubwa na yasiyofaa kwenye bar moja iitwayo Platinum Dodoma muda wa saa sita au saba hivi nikadhani nimeamka asubuhi...
0 Reactions
4 Replies
770 Views
Ndugu WanaJF, Mnakumbuka tuliwaalika kujumuika nasi kwenye kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika? >> Je, unaishi Dar? Una mtoto wa umri kati ya miaka 3 na 15? Mlete kwa Jakaya M. Kikwete Hatimaye...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari Wapendwa.Niko hapa nafanya utaratibu wa kusafiri kwenda Mwanza wiki ijayo.Kama mnavyofahamu watumishi wa umma wanapaswa kutumia usafiri wa Shirika la ndege la taifa ATCL.Kuna jambo la...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Hello salamu waungwana, Kuna jambo flani limekua likintatiza sana nimekua nikijiuliza nini chanzo cha waTz wengi kuikana nchi yetu na kupiga teke utaifa hasa linapokuja swala la kuonesha wazi...
3 Reactions
73 Replies
4K Views
Katika pitapita zangu mitaani nilikutana na mjadala huu mitaani Watu walikuwa wakijadili.... Kuna watu walikuwa wanasema kutokana hali ya maisha ilivyokuwa ngumu bila ya mtu Kuwa "KAUZU NA...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Hivi kwa nini vitu vya serikali ya Tz huwa vya hovyohovyo?Tbc tv na radio hovyoo,timu ya mpira ya serikali iitwayo taifa stars nayo hovyoo kabisaa na hili gazeti nalo.pumbavu,yani huyu chief...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Serekali ya Smz imekuwa mwiba kwa wananchi zidi ya vitendo vya utekaji na unyanyasaji unao tumiwa na vyombo vya Dola kwa Baraka zote za Raisi na makamo wake. Hakuna shaka kuwa vyombo hivi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mvurugo wangu ni huu hapa...Hivi mfano ikatokea mtoto amefikisha umri wa mwaka mmoja toka kuzaliwa eneo fulani labda tuseme Dar (Ubungo) kisha ukamuamisha ukampeleka Mara(Majita)...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Shahidi wa nane katika kesi ya kughushi mukhtasari wa serikali ya mtaa wa Levolosi iliyofunguliwa na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Kasulu ,Dahn Makanga dhidi ya mume mwenzake, Mathew Mollel...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa mtizamo wangu upinzani, ccm na serikali yake wote wanafanya jambo jema na wote hawapendi tuendelee kuibiwa na wawekezaji kutoka nje lkn pia wawekezaji wa ndani. Kinacholeta matatizo ni...
1 Reactions
1 Replies
677 Views
wakuu kwa wenzangu ambao tunatumia sana public transport "daladala" hapa dar naona kwa sasa kuna magari mengi yameandikwa uwadar,nataka tu niulize kwa wajuzi nini kimejicha hapo kwa sababu mwaka...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Enyi Barrick--ACACIA, wahisheni hayo mapesa mliyosema mtailipa nchi yetu. Tunayataka mapesa hayo hasa sisi vijana ili tujiajiri na ili tuweze kujikimu kimaisha. Ajira hakuna kwa sasa, vijana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Sijui ukiishi katika jiji hili, ufanyeje kuepuka lawama..!! Ukiwa Mbunge lawama. Ukiwa Raisi lawama. Ukila vizuri lawama.. Ukijulikana umetokea mkoani lawama. Ukiwa na kazi..ndugu lawama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Vita halali ya kupigania utajiri wa Nchi ikiongozwa na Jemedari mwenye MAARIFA NUSU, anayeshauriwa na makamanda wenye ELIMU NUSU na kushangiliwa na wanasiasa Mazwazwa Kwa kutumia uongo wa dhahiri...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
1. Mawazo yetu si tu yameporwa bali pia hayathaminiwi!! Haki yetu kikatiba ya kuwakilishana imekuwa haki yao kujiwakilisha. 2. kikundi kidooogo cha watu kwa madai ya ridhaa ya kutuwakilisha...
0 Reactions
5 Replies
879 Views
Au wamemu edit nn wazee Wa rumumba[emoji25] [emoji25] Vimeo: Watch, upload, and share HD and 4K videos with no ads
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Serikali ya Smz imekuwa mwiba kwa wananchi zidi ya vitendo vya utekaji na unyanyasaji unao tumiwa na vyombo vya Dola kwa Baraka zote za Raisi na makamo wake. Hakuna shaka kuwa vyombo hivi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…