TOPICS:JLTV
MATTHEW COX JUNE 15, 2017
The Army and the Marine Corps recently showed off its long-awaited Joint Light Tactical Vehicle which the services plan to start replacing Humvees with in...
Natanguliza salaam za kheri kwenu nyote.
Nimekuwa nikilipwa Pension yangu tarehe 25 ya kila nwezi bila matatizo na ndivyo tulivyokubaliana na NSSF wakati nachukuwa malipo yangu ya mwanzo.
Mimi...
Nani kusema wamekubali kulipa !? Au Jemedari amewaambia mumpigie debe, ngoma bado mbichi na siyo ajabu Tanzania ikatakiwa kuwalipa fidia.
Watalipa kwa base ipi labda !?
habari wana jamvi, kutokana na kutokuwa na Forum ya Mkoa wa Singida, binafdi nimeona tukutane hapa ili kujuzana maswala mbalimbali yanayohusu mkoa wa Singida na tuweze kujadiliana na kuusaidia...
Jamani kuanzia jumatatu wiki ijayo naanza kutoa kozi maalumu ya kuishi bila mke/mme wako pindi yupo dodoma...ili husipatwe na msongo wa mawazo...kozi ni ya wiki 4. Karibuni wote.
WanaJF,
Katika sakata hili la mchanga, nimegundua hili.
Nimekuwa nasikitika sana kuwa tunapoteza haki zetu na uwezo wa kufikiri kwa tunaposikia neno "MZUNGU".
Nimeona kwa wabunge wengine...
Nilishawahi fanya internship pale Mbeya Referral Hospital, ambayo sasa wanaiita Southern Highlands Zonal Referral Hospital au Mbeya Zonal Referral Hospital. Hii ni hospitali ya pili kubwa ya...
_Jioni hii nimekuwa nikitafakari juu ya mambo ambayo yahitaji wepesi wa wananchi kuyakabili na kuyaondosha, swala moja linaloniacha na alama ya kuuliza ni wepesi wa nchi yetu kwenye kuyakabili...
Watatu wamekufa na 24 kujeruhiwa baada ya basi la Hamandos kutoka Haydom kwenda Mbulu mjini kutumbukia mtoni.
-------
Watu watatu wamefariki dunia na wengine 24 wamejeruhiwa baada ya basi...
Idara ya uhamiaji nchini inawashikilia watu watano wakiwemo Afisa polisi mstaafu na mtumishi wa halmashauri ya jiji mstaafu wakiwa na nyaraka mbalimbali za serikali za kugushi na mihuri 50 tofauti...
Wana JF habari za jion!
Tafadhali wenye uzoefu naomba msaada wa mawazo, nahitaji kununua gari dogo lenye mwonekano mzuri, nataka kuagiza nje, nina bajeti ya m. 6.
Naomba mawazo ya aina ya...
Mpenzi msomaji,ikiwa ni wiki sasa nipo kikazi Arusha,mkoa wenye baridi na utulivu swadakta kabisa kama ujuavyo ''Tembea uone" nimegundua ya kua
1. Sio kila sehemu za kutembea kwa maringo kama...
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amerejea katika kikao cha kamati ya fedha kwa mara ya kwanza tangu aende gerezani karibu miezi 8 iliyopita na kuvuruga hali ya hewa. Katika kikao hicho...
Toka ijumaa jioni niko hapa,nina mgonjwa wa ajali,
Jambo la kustaajabisha hospital in hapa:
1:Dawa (japo dawa baridi tu)kama panadol,paracetamol n.k hakuna hata kwa kununua kwenye Duka la...
Wadau nlikuwa napita posta mida huu huku round about ya azam hali si nzuri watu wamejawa na taharuki wanakimbia na hawajui wakimbilie wapi. imesikika milipuko kama mara tatu hivi ambayo labda...
Habar zenu Wadau!!,Mimi ni mjasiliamali mdogo*2, ninajishughulisha na ushonaji nguo kwa kutumia mashine za cherehani..
Kutoka na sera ya serikali ya* TANZANIA YA VIWANDA*.. Nimeona nipate mawazo...