Hivi Hawa wasabato wanaakili kweli...

Hivi Hawa wasabato wanaakili kweli...

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,378
Wanafungulia mikwaya yao.. Sasa hv saa tano na nusu.. Mtaa mzima makelele usiku wote huu.. Watu tumechoka tunashindwa kulala.. Hivi imani zenu kwann mnalazimisha na wengine...
 
Wanaishi mtaa gani humu chit-chat,jukwaa la siasa,matangazo madogo au kule jamii intelligence?
 
Wanafungulia mikwaya yao.. Sasa hv saa tano na nusu.. Mtaa mzima makelele usiku wote huu.. Watu tumechoka tunashindwa kulala.. Hivi imani zenu kwann mnalazimisha na wengine...
Kamwambie asisumbue watu wamelala.
 
Imani nzuri ni ile isiyo ingilia uhuru na Imani ya mtu mwingine
 
Back
Top Bottom