Hekaheka mwanamke adaiwa kumkata sehemu za siri mtoto wa jirani yake kisa

GTA

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
880
1,000
1.jpg

Hekaheka ya leo June 19, 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM imetokea Sinza DSM ambapo mwanamke mmoja anadaiwa kumkata sehemu za siri mtoto wa kiume wa jirani yake mwenye umri wa miaka minne akidai amembaka binti yake wa miaka miaka mitatu.

Inadaiwa kuwa watoto hao walikuwa wanacheza nyumbani kwa mama huyo ambapo alidai kuwakuta wakifanya hivyo hivyo kuamua kumkata sehemu za siri mtoto huyo wa jirani jambo lililopelekea kukimbizwa Hospitali na kufanyiwa tohara baada ya mzazi wake kutoa taarifa Polisi.
 

Black Coffee

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
1,796
2,000
Ana laana huyo sio bure sasa kidudu cha miaka4 kinaharibu nn hata kama huyo ni binti ni miaka3 too bad angewakanya inatosha,,,,maana uyo binti kama niwakuaribika ataaribika tuu
 

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,552
2,000
Naona aliyemdanganya mwenzie hapo ni huyo wa ke. Sasa si kwishapata mbimba kweli?? Je mamake amepewa pf3 kumpima kama bado bikra?? Hako ka kike kameanza siku nyingi. Hadi kumtoa wa kiume kwao akampeleka kwake. Mambo haya si mchezo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom