Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mke mdogo wa aliyekuwa muimbaji wa miondoko ya taarabu, mfalme Mzee Yusuph aitwae Chiku amefariki usiku huu katika hospitali ya Amana alipokwenda kujifungua Chiku amefariki yeye pamoja na mtoto...
6 Reactions
353 Replies
68K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia kesi Mwanasheria Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Baptister Bitaho (54) aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka matatu ikiwamo kuishi na kufanya kazi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mshtakiwa Baraka Joshua(23) maarufu kwa jina la mtoto wa Nyani, anayekabiliwa na shtaka la kubaka na kulawiti mtoto wa miaka tisa, ameieleza mahakama kuwa yeye hajahusika katika ubakaji wa mtoto...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hili tangazo lina muda mrefu sana na kwa bahati nzuri wenye nalo wana fedha za kuweza kulirusha hewani kwenye TV stations mbalimbali hapa nchini. Huwa najiuliza halafu nashangaa sana kuona makosa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Leo JamiiForums ndiyo Google kwa waandishi wetu wa habari. Mtu yupo nyumbani 24hrs macho yapo JamiiForums kutazama nini kimekuwa posted akopi na kupesti habari za watu. Hizo blog ndiyo kabisaaa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya kimataifa Feza wakiwa na furaha nchini Marekani baada ta kushinda medali za dhahabu kwenye mashindano ya Genius Olympiad. Kushoto ni Abdulrazak Juma Mkamia wa pili...
9 Reactions
148 Replies
18K Views
Katika ukuaji wa uchumi kuna viashiria tofautitofauti, naomba nitumie viwili ambavyo ni rahisi kueleweka kwa kila mtu. 1) Kuongezeka kwa ajira Hiki ni kiashiria ambacho hutumika mara nyingi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanaume wanaochelewa kuanza familia wana uwezo wa kupata wavulana werevu kulingana na utafiti. Watoto hao huwa werevu, wenye malengo kulingana na utafiti huo uliofanywa na chuo cha Kings College...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wasalaam wana jamvi. Kuna mambo mtu akikufanyia unaweza kugeuka na kuanza kujiuliza hasa kama ni mtu ambaye ni wa karibu kwako au mliyeshibana.. unaweza kuanza kuseama hata huyu? hata wewe Kama...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
habari wadau.. nina imani wote tunaipenda nchi yetu... mkuu wa nchi hatafuti hela kwa ajili ta warsha, posho na semina.. kama kula hizo hela tumeshakula sana miaka ya nyuma.. sasa tufanye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mmeanzisha kampeni ya kukusanya madeni sekta binafsi na umma lakini mmewasahau wanufaika waliojiajiri kv wakulima pia wale ambao wapo sekta binafsi lakini hulipwa isivyo rasmi Mathalani graduate...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ben R Mtobwa, aliandikia kitabu chake cha ''Pesa Zako Zinanuka'' na sasa ndio nimeamini kuna watu pesa zao zinanuka badala ya kunukia. Maskini hutumia muda mwingi kuwazungumzia matajiri ila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kukamatwa bandarini kwa shehena ya mchele wa plastic kutoka China. Napenda kutoa rai kwa mamlaka husika kutoka mafunzo kwa wakaguzi wa halmashauri juu ya...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hbr Wana Great Thinkers. Leo Asubuhi Nimeamshwa Na Zogo La Watu Nje Nikatoka Kusikiliza. Nimekuta Kijana Mdogo Wa Miaka 19 Anamtukana Mtu Mzima Age 36 Kisa Hajaogesha Ng'ombe Kwa Dipu. Anaambiwa...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
SERIKALI imewaomba wananchi kununua chakula cha msaada kilichotolewa na Hifadhi ya Taifa ya chakula (NFRA) licha ya kucheleweshwa na kukutana na msimu wa mavuno. Kauli hiyo...
0 Reactions
2 Replies
839 Views
Habari za wakati huu wakuu, Katika pita pita zangu leo jioni nikiwa natoka msikitini nimekutana na jiwe hili pichani likiwa lina waka ila sijui nijiwe gani. Nimeliokota na kuliweka mfukoni...
0 Reactions
100 Replies
14K Views
Stori za kichawi nyingi huwa ni kuonyesha wakipiga mikwara bila kuchukua hatua... mfano: Mtu kalala usiku eti mchawi anatembea juu ya bati ila haingii ndani... sasa anapata faida gani... Mtu...
9 Reactions
63 Replies
12K Views
UTAFITI unaonyesha kuwa asilimia kubwa ya wachimbaji wadogo wanaochenjua madini ya dhahabu kwa kutumia kemikali ya zebaki, wako hatarini kupoteza maisha kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Morogoro. Kitendo cha Rais John Magufuli kuzuia sukari kutoka nje ya nchi isiingizwe nchini kimewezesha kiwanda cha sukari cha Kilombero kulipa wakulima wa miwa bei ya juu. Kauli hiyo ilitolewa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimekaa na kutafakari kwa muda sasa jinsi neno ndoto linavyotumika katika maisha yetu katika kufikia malengo tunayojiwekea na kugundua kwamba lina athari kubwa kuelekea kwenye kutimiza...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…