Wachumi tusaidieni hapa

Wachumi tusaidieni hapa

nessonlegend

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
1,698
Reaction score
1,514
Katika ukuaji wa uchumi kuna viashiria tofautitofauti, naomba nitumie viwili ambavyo ni rahisi kueleweka kwa kila mtu.

1) Kuongezeka kwa ajira

Hiki ni kiashiria ambacho hutumika mara nyingi sana, tumeshuhudia awamu hii kuwa haijatoa ajira kwa vijana wengi, lakini wakati huohuo imeondoa watumishi hewa wengi na wenye vyeti feki. (hivyo imeongeza unemployment)

2) mzunguko wa hela/pesa

Tumeshuhudia wafanya biashara na wafanyakazi wanavyolalama kuwa pesa imekuwa adimu, ninefanya utafiti kidogo Stendi tegeta nyuki (dar) watu wamefunga fremu zao sababu ya ugumu wa upatikanaji wa pesa (yani biashara imekuwa ngumu).

Sasa najiuliza mbona kila siku tunaambiwa kuwa uchumi wa Tz unakuwa kwa kasi ili hali maisha yanazidi kuwa magumu! Huo uchumi ni wa watu wachache au ni uchumi wa sekta fulani tu.

Nawaailisha
download.png
 
Mkuu kwa uelewa wangu mdogo nilionao kuna vitu viwili vikuu navyo ni ECONOMIC GROWTH and ECONOMIC DEVELOPMENT. kiuhalisia economic growth ni subset ya Eco dvpmt,hivyo economic growth hua haijumulishi some basic factors eg level of welfare, per capital income, security issues, employment etc lakn Kuwepo kwa economic development nyanja zote muhimu inakua ni compassary, eg level of employment, freedom of speech, level of welfare,infrustructure, social amenities n.k.... hivyo nafkir kwa hapo tukisema uchu mi umekua interms of ECONOMIC GROWTH sitokosea...thanks, marekebisho nayakubal
 
Mi kila siku nashangaa sana, kwani hata balozi wa china nchini wiki 2 zilizopita nae kamsapoti Magu eti uchumi umekuwa sijui anaogopa kutumbuliwa
 
Katika ukuaji wa uchumi kuna viashiria tofautitofauti, naomba nitumie viwili ambavyo ni rahisi kueleweka kwa kila mtu.
1) Kuongezeka kwa ajira
Hiki ni kiashiria ambacho hutumika mara nyingi sana, tumeshuhudia awamu hii kuwa haijatoa ajira kwa vijana wengi, lakini wakati huohuo imeondoa watumishi hewa wengi na wenye vyeti feki. (hivyo imeongeza unemployment)

2) mzunguko wa hela/pesa
Tumeshuhudia wafanya biashara na wafanyakazi wanavyolalama kuwa pesa imekuwa adimu, ninefanya utafiti kidogo Stendi tegeta nyuki (dar) watu wamefunga fremu zao sababu ya ugumu wa upatikanaji wa pesa (yani biashara imekuwa ngumu).

Sasa najiuliza mbona kila siku tunaambiwa kuwa uchumi wa Tz unakuwa kwa kasi ili hali maisha yanazidi kuwa magumu! Huo uchumi ni wa watu wachache au ni uchumi wa sekta fulani tu.

Nawaailisha
Wachumi wetu wanatumia formula ya: "head in the oven and the legs in the freezer, the average is comfortable"...

Kwa mtindo huo ni lazima uchumi ukue mara dufu...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nicheke tu
 
Ili uchumi ukue, pamoja na mambo mengine, lazima uwekezaji uongezeke kwanza (Level of investment must rise).

Sasa hivi kinyume chake kinatokea:

1. Biashara zinafungwa kuliko kufunguliwa!

2. Mitaji katika biashara inapungua (ama kupunguzwa) badala ya kuongezwa. Na hivyo uzalishaji unapungua na watu wanapunguzwa kazi (ama kubaki kazini kwa ujira kiduchu)

3. Pesa inakusanywa lakini hairudiswi kwenye mzunguko kwa uwiano ulio sawa. Wanakusanya sana kodi lakini matumizi hayafanyiki! Hela wanabaki nayo mapajani tu. Sasa raia au wazalishaji wanapata wapi pesa ya uzalishaji? Consumers wanapata wapi pesa ya kununulia bidhaa?

Serikali ya Manfongo inadhani kwa kuwa pesa ni ya serikali basi ikusanye pesa yote then wananchi watatafuta za kwao. Foolishness!

There must be a balance of notes between the GVT and the public.

Kusiwe na pesa nyingi uraiani kupita kiasi ili kuzuia mfumuko wa bei. Lakini pia serikali isikae na pesa nyingi kuliko uraiani kwani itasababisha mdororo wa uchumi. Wazalishaji watabakia na pesa za uzalishaji lakini wanunuzi hawana pesa (Pesa nyingi zaidi imeshikiliwa na serikali)

Kutokana na hayo machache, uzalishaji wa ajira ni mdogo, maana production pia imeshuka. Production inashuka kwa sababu wazalishaji hawana uhakika sana na masoko maana sokoni hakuna pesa ya kununulia bidhaa.

Badala ya serikali kufanya matumizi ya ndani ya nchi ili pesa iwepo kwenye mzunguko, badala yake inapeleka pesa nje ya nchi kununua Mafyekeo Yale sijui pangaboi. Sisemi kwamba ni vibaya. Lakini wanaokopa au kulipa kidogo kidogo siyo wajinga.

Jaribu kufikiri nusu ya ile pesa ingefanyiwa matumizi ya ndani hapa hapa Tz, kwa kiasi Fulani pesa ingeonekana na biashara zingesavaivu.

kama uchumi kukua ni kuhesabu pesa ya hazina pale BOT sawa[/]
 
Umenena vyema sana mkuu, huwa najiuliza kunadi benki fulani na kuziponda nyingine, Je hapo tunajenga au kubomoa maana benki moja haiwezi kidhi vigezo vya ushindani
 
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi..uko njema
 
Back
Top Bottom