HESLB njooni mkusanye madeni sekta isiyo rasmi

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
5,396
2,000
Mmeanzisha kampeni ya kukusanya madeni sekta binafsi na umma lakini mmewasahau wanufaika waliojiajiri kv wakulima pia wale ambao wapo sekta binafsi lakini hulipwa isivyo rasmi

Mathalani graduate anaemiliki duka au magari ya abiria au anaeendesha bodaboda au mlanguzi huko mashambani hao mnakusanyaje madeni yenu,msionyeshe substandards kwenye ukusanyaji mje na huku tunataka kulipa
Waiter ongeza siku ianze vizuri
 
havanna

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
1,740
2,000
Hata serikalini wameshindwa, matumishi wengi hawakatwi hata hiyo mikopo wanayotangaza hao wanasiasa majukwaani, mtu amefanya kazi miaka mitano hakatwi
 
jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
9,835
2,000
Kama kuna mtu wa Helsb huku aje nimpe mbinu ya kupata hizi fedhA,Hela tunazo ila sasa namna ya kuwapata
 
SHAMAC

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
1,345
2,000
Mi kwa niliko huku hata waloge hawanipati..! Wengine mikopo kwetu ilishakuwaga msaada tu
 
Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,047
2,000
Mbwa hawa tulisoma kwa mil 5 tu vyuo vya serikali wanatukata milioni 10. Nikiwasikia hawa mbwa napandwa na hasira sana

Mi nilisoma kwa 40% ada ya course yangu ilikuwa laki 7, kwa mwaka nilijilipia 440000/= wao walilipa 260000/= kwa miaka mitatu ada walinilipia 780000/= jumlisha field mbili 450000/= stationary 600000/= na fedha ya chakula. Haizidi mil 5, lakini kwenye salary slip walileta mil 10.2

Ila nnajua tu sitawalipa lote mbwa hawa. Nitaacha kazi kabla hata halijafika mil 2. Naogopa ban ningeshusha matusi basi tu
 
Ngalale

JF-Expert Member
Mar 24, 2017
246
500

Hawa jamaa nikama wanafanya biashara,nikutunyonya tuu masikini sisi ndo maana hata mikataba yenyewe wagatunajaza bila kuwekwa wazi nikihasi gani cha fedha tutarudisha,hailengi kumsaidia mtoto wa masikini
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,816
2,000
mkopo walitupa kwa maandamano.. na siwalipi hadi nao waandamane kunidai..

wakija kwenye kijiwe changu cha boda boda kunidai.. nawazushia wezi wa boda boda hawa na kupiga kelele jinsi boda boda tulivyo na umoja tunawatia moto dakika sifuri tu
 
Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,408
2,000
Mmeanzisha kampeni ya kukusanya madeni sekta binafsi na umma lakini mmewasahau wanufaika waliojiajiri kv wakulima pia wale ambao wapo sekta binafsi lakini hulipwa isivyo rasmi

Mathalani graduate anaemiliki duka au magari ya abiria au anaeendesha bodaboda au mlanguzi huko mashambani hao mnakusanyaje madeni yenu,msionyeshe substandards kwenye ukusanyaji mje na huku tunataka kulipa
Waiter ongeza siku ianze vizuri

Acha umbeya mjomba
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom