Msaada wa forex online books:(purchase/free)

wOn LifE

Member
May 31, 2017
32
95
Mimi mtafutaji kama watu wengine,nimekuwa nikifuatilia thread moja humuhumu JF, uliandikwaga na ONTARIO..

Nimeanza kufuatilia na kusoma baadhi ya articles zinazoelezea FOREX FOR BEGINNERS, nimedownload YouTube videos mbalimbali zinazoelezea how to win/lose with FOREXz...na nimeshaanza kupiga pesa ila kwa PRACTICE ACCOUNT (Nikifanikiwa elewa vya kutosha nataka nianze invest in this FOREIGN EXCHANGE MARKET/FOREX.

Lakini bado sijapata vitabu au reference books ambavyo vitanifanya nielewe vizuri kwa ufanisi kuhusu forex market.

NB:
(a)Hata vitabu ambavyo ninaweza kupata katika NORMAL BOOKSHOPS.

(b)Nisaidie JINA LA KITABU au MWANDISHI (+ Edition ya ngap )

/FAILURE NEVER FINAL&SUCCESS NEVER ENDING/
 
mike2k

JF-Expert Member
May 12, 2016
689
1,000
Kwenye thread vitabu vyote vinapatikana....
Na nikupe akili sasa kijana
UKITAKA KUFANIKIWA KWENYE FORWX FUNGUABULEBUZI WA ONTARIO SOMABPOSTVMOJA BAADAVYA NYINGINE MPK MWISHO UTAPATA VITABU VYOTE,TELEGRAM GROUPS,WHATSAPP GROUP VIDEOS ETC
 
Poa poa.......Subir nianze taratibu.kufuatilia
 
jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,729
2,000
Mimi mtafutaji kama watu wengine,nimekuwa nikifuatilia thread moja humuhumu JF, uliandikwaga na ONTARIO..

Nimeanza kufuatilia na kusoma baadhi ya articles zinazoelezea FOREX FOR BEGINNERS, nimedownload YouTube videos mbalimbali zinazoelezea how to win/lose with FOREXz...na nimeshaanza kupiga pesa ila kwa PRACTICE ACCOUNT (Nikifanikiwa elewa vya kutosha nataka nianze invest in this FOREIGN EXCHANGE MARKET/FOREX.

Lakini bado sijapata vitabu au reference books ambavyo vitanifanya nielewe vizuri kwa ufanisi kuhusu forex market.

NB:
(a)Hata vitabu ambavyo ninaweza kupata katika NORMAL BOOKSHOPS.

(b)Nisaidie JINA LA KITABU au MWANDISHI (+ Edition ya ngap )

/FAILURE NEVER FINAL&SUCCESS NEVER ENDING/
Unatumia application gani Ku download video you tube?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom