Anaefahamu historia ya wakuitwa '"WANEFILI "katika bible atuletee hapa

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
640
500
Natamani kuwafahamu inasemekana walikua ni watu waliokua hodari na wenye nguvu duniani na walileta ngezeko la maovu
Karibuni wajuzi,wajuaji,wataalamu wa mambo,wazee wa utafiti na wengine wa kufanana na hao
Wacha niendelee kupakia viroba nikisubiri majibu toka humu jamvini
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,677
2,000
Hawa ni zao kati ya malaika na binadamu.Ni watu waliotokana na uzao wa malaika waliotoroka mbinguni na kisha kuvaa miili ya kibinadamu na kisha kujamiiana na wanadamu.Watoto waliopatikana walikuwa watu hodari sana na mashujaa wa wakati huo.
Baadae kizazi hiki kilianzisha jeuri duniani na uasi mwingi.Ndio maana MWENYEZI MUNGU aliamua kuiteketeza dunia Kwa gharika kuu kutokana na uasi wa hawa WANEFILI.
Wale malaika waliokuja duniani baada ya kuona gharika walivua miili ya kibinadamu na kuvaa ya kimalaika ili warudi mbinguni.Hawakufa na gharika na mbinguni hawakwenda.Hawa waligeuka kuwa mapepo wabaya na majini.ASANTE
 
Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,603
2,000
Shortly: Hawa ni watu wa uzao wa uovu, walikuwa kinyume cha uzao pendwa wa Yakobo, waliitwa wafilisti pia, Goliath alikuwa mmoja wa watu hawa.
Maumbo yao yalikuwa makubwa sana huku wakiwa na vidole sita miguuni na mikononi badala ya 5 vya kawaida.
Wenye nguvu mwilini na rohoni (mystery power).
Wajuzi wengine mtupe raha.
 
JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
640
500
Hawa ni zao kati ya malaika na binadamu.Ni watu waliotokana na uzao wa malaika waliotoroka mbinguni na kisha kuvaa miili ya kibinadamu na kisha kujamiiana na wanadamu.Watoto waliopatikana walikuwa watu hodari sana na mashujaa wa wakati huo.
Baadae kizazi hiki kilianzisha jeuri duniani na uasi mwingi.Ndio maana MWENYEZI MUNGU aliamua kuiteketeza dunia Kwa gharika kuu kutokana na uasi wa hawa WANEFILI.
Wale malaika waliokuja duniani baada ya kuona gharika walivua miili ya kibinadamu na kuvaa ya kimalaika ili warudi mbinguni.Hawakufa na gharika na mbinguni hawakwenda.Hawa waligeuka kuwa mapepo wabaya na majini.ASANTE
interesting
 
Asante

JF-Expert Member
Dec 18, 2009
2,086
2,000

Cain baada ya kudanganywa na shetani, alikubali kupokea zawadi za dhahabu, fedha na kwenda kuishi ndani ya bustani nzuri kama bustani ya eden. Sababu kubwa iliyomfanya Cain akubali ushauri wa shetani ni baada ya wazazi wake kupanga mipango ya ndoa zao kati yake na mdogo wake Abel. Adam alipanga Cain amuoe mdogo wake Aklia na Abel amuoe dada yake Luluwa, sababu ya mpangilio wa ndoa kuwa hivyo ni kwa sababu Cain alizaliwa pacha na Luluwa na Abel Alizaliwa pacha na Aklia.

Hivyo wazazi wakaona ni vyema kila mwanaume aoe mke ambaye hakuwa pacha mwenzake, kitendo hiki kilimuuzi mno Cain kwani kwa masimulizi ya mama Eva Luluwa alikuwa msichana mrembo kweli kweli, anasema yeye aliumbwa kwa mikono ya Mwenyenzi Mungu lakini urembo wa binti yake ulikuwa zaidi yake.

Shetani akamwambia Cain Nitakupa bustani nzuri iliyo upande wa kaskazini ambayo nilitaka kumpa baba yako Adam lakini akataa. Shetani akamwambia ikiwa utayakubali maneno yangu tutaishi wote ndani ya bustani hiyo baada ya ndoa yako. Cain akafungua masikio yake na kukubaliana na shetani.

Cain akarudi nyumbani na kumkuta mama yake Eva akaanza kumpiga akamwambia kwa nini unamchukua dada yangu tuliozaliwa pamoja aolewe na mdogo wake kwani yeye amekufa.

Cain pamoja na hasira za kukataliwa sadaka zake za kuteketeza na Mwenyenzi Mungu, pia alimua mdogo wake Abel na kumchukua dada yake Luluwa na kukimbilia kwenye bustani ya shetani ambayo ilikuwa bondeni mwa mlima waliokuwa wakiishi, alimzalisha watoto wengi sana na watoto nao kazaliana kwa kasi ya ajabu hadi bonde lote likajaa watu.

Huo ukawa ni ushindi mkubwa kwa shetani kwa mwanadamu, kama haitoshi shetani akawageuza maumbo malaika waasi aliofukuzwa nao mbinguni, wakavaa maumbo makubwa ya kibinadamu na walijulikana kwa jina la Wanefili (tazama umbo lao, picha hapo juu)

Wanefili waliwatenda mambo machafu sana watoto wa Cain, waliwazalisha kwa nguvu, wanaume waliingiliwa kinyume cha maumbile.

Seth na Adam waliwakataza watoto wao kwenda kwa Cain na watoto wa Cain walizuiliwa kuchangamana na watoto wa Seth, au kwa maneno mengine eneo alilokuwa akiishi Cain lilijulikana kama nchi ya watoto wa shetani, na mlima waliokuwa wakiishi Adam ulijulikana kama mlima wa Mungu.

Kuna kipindi watoto wa Seth walivutiwa sana na uzuri wa watoto wa Cain wakafanya mipango washuke bondeni lakini Seth aligundua na aliwaonya kuwa yeyote atakayevunja amri yao ya kutokuchangamana na watoto wa Cain na akashuka bondeni hataweza tena kupanda mlima na kurudi nyumbani, baadhi ya watoto walitii wachache wakaamua kuteremka bondeni, wanasema watoto wa kike wa Cain na Luluwa walikuwa wazuri mno, miili yao ikiwa na tatoo, baada ya kustarehe nao walishindwa kabisa kurudi nyumbani mlima wa watoto wa Mungu ulikuwa haupandiki tena wakaishia nyumbani kwa wana wa shetani.

Adam akawa amejua mwisho wa maovu haya nini kitafanyika, hivyo akawausia watoto wake waendelee kumcha na kumtegemea Mungu, akawaambia Mungu ataiangamiza dunia kwa maji na watabakia watu wanane tu, na aliwaambia hao watu nane watakaobaki yeye akiwa amekufa, wauchukue mwili wake ndani ya Safina na maji yakikauka mwili wake wauzike katikati ya nchi.

Mungu akaghathibika sana sana na uovu wa wanadamu hivyo ......
 
La Princesa

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
1,002

Duh
 
Gunst

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
2,266

Mkuu kama hutojali tuambie ulipotoa haya maelezo
 
ndetia

JF-Expert Member
Jun 9, 2012
574
1,000

umetunga hadithi nzuri sana,nimeipenda
 
Ubavu

JF-Expert Member
Jun 19, 2012
2,788

Huyu mnefili ndo anataka kumbaka huyo mdada au?! Maana sijaelewa..
 
Eng Saimon

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
354
500
Hawa ni zao kati ya malaika na binadamu.Ni watu waliotokana na uzao wa malaika waliotoroka mbinguni na kisha kuvaa miili ya kibinadamu na kisha kujamiiana na wanadamu.Watoto waliopatikana walikuwa watu hodari sana na mashujaa wa wakati huo.
Baadae kizazi hiki kilianzisha jeuri duniani na uasi mwingi.Ndio maana MWENYEZI MUNGU aliamua kuiteketeza dunia Kwa gharika kuu kutokana na uasi wa hawa WANEFILI.
Wale malaika waliokuja duniani baada ya kuona gharika walivua miili ya kibinadamu na kuvaa ya kimalaika ili warudi mbinguni.Hawakufa na gharika na mbinguni hawakwenda.Hawa waligeuka kuwa mapepo wabaya na majini.ASANTE
It sound good!
 
banned do

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
572
500
Natamani kuwafahamu inasemekana walikua ni watu waliokua hodari na wenye nguvu duniani na walileta ngezeko la maovu
Karibuni wajuzi,wajuaji,wataalamu wa mambo,wazee wa utafiti na wengine wa kufanana na hao
Wacha niendelee kupakia viroba nikisubiri majibu toka humu jamvini
Utajikuta umelala na simu hauna kisha kiumbe mwingine atakusaidia kupost.Endelea kubugia viroba.
 
banned do

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
572
500
Hawa ni zao kati ya malaika na binadamu.Ni watu waliotokana na uzao wa malaika waliotoroka mbinguni na kisha kuvaa miili ya kibinadamu na kisha kujamiiana na wanadamu.Watoto waliopatikana walikuwa watu hodari sana na mashujaa wa wakati huo.
Baadae kizazi hiki kilianzisha jeuri duniani na uasi mwingi.Ndio maana MWENYEZI MUNGU aliamua kuiteketeza dunia Kwa gharika kuu kutokana na uasi wa hawa WANEFILI.
Wale malaika waliokuja duniani baada ya kuona gharika walivua miili ya kibinadamu na kuvaa ya kimalaika ili warudi mbinguni.Hawakufa na gharika na mbinguni hawakwenda.Hawa waligeuka kuwa mapepo wabaya na majini.ASANTE
Ina maana Mungu alishindwa kuwatokomeza?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom