koban
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 248
- 98
Hii ni vita yetu sote hebu jamani wananch wakibiti ebu toeni ushirikiano na polisi zidi ya hiki kikundi cha magaidi kinachokuwa kwa kasi ya ajabu kwenye nchi kama hii ya amani.Hii kitu ni hatari Vyombo vyetu ya usalama msichukulie kimzaa mzaa hawa watu wako vizuri wanajiamin wanafanya mashambualio yakushtukiza kama aliashabab. Somalia walianza hivi hivi. Majeshi yetu hebu chukulieni hii kitu kwa makin kama mlivyo fanya loliondo.Huu sasa ni mchezo wamezidi.Aisee inaniuma Sana kila siku tu kibiti MAUAJI.