Balozi wa Tanzania nchini Israel abadili Dini?

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,714
2,000
Screenshot_2017-06-15-22-21-20.png
Screenshot_2017-06-15-22-21-23.png
Screenshot_2017-06-15-22-21-40.png
surprises president with Hebrew prayer
Job Daudi Masima, Tanzania's first ambassador to Israel, dons kippah, greets Israeli President Reuven Rivlin with Hebrew prayer.

Arutz Sheva Staff, 15/06/17 20:03Video Player

00:02 | 00:44

President Reuven Rivlin welcomed four new diplomats to Israel in a ceremony on Thursday, receiving their diplomatic credentials at the President’s Residence in Jerusalem.

New ambassadors from Nepal, Honduras, Brazil, and Tanzania met with President Rivlin, marking their formal beginning of their service in Israel.

This marks the first time ever that Tanzania, an east African country of some 52 million, has an active embassy in the Jewish state.

Israel and Tanzania established diplomatic ties in 1995, following a 22-year hiatus which began during the Yom Kippur War, though no ambassador from Tanzania was ever sent to Israel.

Watch: Tanzanian Amb. surprises president with Hebrew prayer
 
Attachments

 • File size
  5.2 MB
  Views
  51

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,288
2,000
Ee Baba Mungu utuhurumie, Tanzania kuwa na raia mzigo kama huyu mleta mada ni laana, tatizo KKK, hiyo kofia ni vazi la Kiyahudi ambalo wageni mbalimbali wakitembelea Israel wanapewa kama heshima, hata Trump juzi alipewa hicho kibaraghashia cha kiyahudi.
 
Attachments

 • tapatalk_1497551198308.jpeg
  File size
  67.5 KB
  Views
  76
 • tapatalk_1497522863749.jpeg
  File size
  33.2 KB
  Views
  98

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,714
2,000
Nini kimekufanya uulize kama kabadili dini? Maana kwenye maelezo hawajaonyesha hilo!

Ila nimecheka sana comment za wadau hapo juu
Kwa kawaida humu jf watoa comments wa kwanza au wa pili ukiwafuatilia wengi ni matahahira.. ila huyo post namba sita ni zaidi nadhani kalaaniwa
 
Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
8,951
2,000
View attachment 524679 View attachment 524680 View attachment 524678 surprises president with Hebrew prayer
Job Daudi Masima, Tanzania's first ambassador to Israel, dons kippah, greets Israeli President Reuven Rivlin with Hebrew prayer.

Arutz Sheva Staff, 15/06/17 20:03Video Player

00:02 | 00:44

President Reuven Rivlin welcomed four new diplomats to Israel in a ceremony on Thursday, receiving their diplomatic credentials at the President’s Residence in Jerusalem.

New ambassadors from Nepal, Honduras, Brazil, and Tanzania met with President Rivlin, marking their formal beginning of their service in Israel.

This marks the first time ever that Tanzania, an east African country of some 52 million, has an active embassy in the Jewish state.

Israel and Tanzania established diplomatic ties in 1995, following a 22-year hiatus which began during the Yom Kippur War, though no ambassador from Tanzania was ever sent to Israel.

Watch: Tanzanian Amb. surprises president with Hebrew prayer
Kwani kuomba in Hebrew ndio ina maana kwamba tayari umeshabadili dini, sio kweli mkuu.Hebrew is just a language like Swahili.
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,148
2,000
Ni mambo ha kawaida tu mkuu,hata wewe ukienda china unaweza wasalimia kwa kichina cha kufundishwa
 
Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,714
2,000
Kwani kuomba in Hebrew ndio ina maana kwamba tayari umeshabadili dini, sio kweli mkuu.Hebrew is just a language like Swahili.
I asked sababu sielewi so kama nawewe huelewi pls shut f.k up. Remember Uyahudi ni Dini na unapo pratice inaleta swali fulani. Imani si za kuchezewa
 
Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,714
2,000
Ina maana Bashite anavyovaa Kanzu kabadili dini?
Huwa mtu akija kipuuzi napenda nimjibu kipuuzi pia ili ajifunze... so swali linapoulizwa usiende kunywa mataputapu ndipo ujibu humu jf sio sober house. Kuna Sheikh anayeweza vaa hivyo? Hata kwa dakika moja tu? So tambua am not fool nilipo uliza kama unajibu tutaenda sawa..
 
Cannibal OX

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
2,809
2,000
Huwa mtu akija kipuuzi napenda nimjibu kipuuzi pia ili ajifunze... so swali linapoulizwa usiende kunywa mataputapu ndipo ujibu humu jf sio sober house. Kuna Sheikh anayeweza vaa hivyo? Hata kwa dakika moja tu? So tambua am not fool nilipo uliza kama unajibu tutaenda sawa..
Usiogope hoja; kwani Job Masima kakupigia simu kukueleza kabadili dini? Kwani kila mtu anayesema Bwana Asifiwe ni mkristo? Au anayesema Asalaam aleikum ni Muislamu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom