General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,061
Wakuu..
Mara nyingi tumesikia habari nyingi ambazo mimi binafsi sijawahi shuhudia. Tumesikia watu kadhaa ambao wana utajiri na mali nyingi ambao huusishwa na ushirikina katika kupata mafanikio hayo.
Tumekuwa tukiona matangazo mbalimbali ya waganga kwamba unaweza pata pesa za ki freemason au pesa za majini na kutajirika mapema.
Tumesikia albino wakiuliwa kwa kuelezwa kwamba viungo vyao vinatimika kuleta utajiri.
Najua hapa JF kuna watu wengi ambao wanaweza kuwa wameshiriki au kushuhudia haya.
Nataka tusaidiane kujua mambo haya kiundani maana wengine mpaka sasa hatuamini mambo haya kutokana na mechanism yake haipo wazi.
mshana jr,Mtu mzito, Al-Watan Annael jichawi