Aliyekoswa Koswa Panga Kutetea Ujenzi Wa Shule Afukuzwa Kama Mbwa Ofisini.

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
939
1,000
Alipigania Shule Ijengwe Huku Akikutana Na Upinzani Toka Kwa Wanakijiji Waliokuwa Hawataki Shule Hiyo Ijengwe Mpaka Akakwepa Panga Na Mawe Kadhaa Yalimpata Na Kumjeruhi.Leo Alimleta Mwanae Apate Tuition Kipindi Cha Likizo Wanaompokea Wamegoma Kumpokea Mwanae Kisa Anadaiwa Viporo Vya Ada Halali Hivyo Arudi Nae Kwanza.Jamani Hii Ni Sawa?
 

doup

JF-Expert Member
Feb 26, 2009
2,173
2,000
fafanua ni wapi na lini na ikiwezekana mtaje na jina na waliomfukuza.
 

natoka hapa

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,351
2,000
Sasa kama anadaiwa na utaratibu unamuelekeza kulipa kwanini asilipe au atafute suluhu kwa kuahidi ni lini atalipa, hii ya kusema alisaidia shule ijengwe unadhani kwenye stakabadhi ya fedha za serikali itaandikwa vipi?
Jamani tusiwatwishe wenzetu mizigo mizito kuliko uwezo wao.

Unapoanzisha utaratibu ni vema usiwe na substandard
 

MADAM T

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
4,360
2,000
Sio halali hata kidogo, wampokee mtoto wampe muda wa kutafuta pesa..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom