bilengeh
Senior Member
- Mar 31, 2017
- 135
- 86
Habari za jioni wapendwa.
Kwa mawimbi ya kisiasa yanayoendelea kwa sasa nchini, nimeamua kuchukua hatua hii.
Kwa kuanza malalamiko yangu na huu ushabiki wa kichama ambao tumeotoa katika sera na agenda mpk kuufnya kuwa ni wa kishabiki zaidi. Mana tumefanya kuwa washabiki badala ya kuwa wazalendo na nchi yetu. Naona tunapoelekea ni yale yale ya simba na yanga katika ulingo huu wa siasa.
Maana kwa hulka ya binadaamu akikosaa yale aliyekuwa anapata mwanzo akayakosa basi huwa anakuwa na mengi ya kujiuuliza.
Haya ni katika machache niliyokuww navipata toka kwa mabwana hawa
1/ hoja nzito zenye kuligusa taifa.
Lkn kwa masikitiko makubwa leo wameyaweka mbele maslahi ya chama mbele
2/ kukosoa pasina kutoa muarubaini wa kulitibu tatizo.
Hapa upinzani wetu umekuwa unaimba wimbo huu kwa zqidi ya miaka kumi sasa kukosoa ambayo ni jambo jema lkn kukosoa pekee kusiishie hapo pia wanatakiwa kulalamikia makosa hayo yaliyopita(nieleweke wazi kuwa c maanishi yaliyopita yakasahaulika) ila watuonyeshe WAY FORWARD na sikukosoa pasina kutoa ushauri wenye tija na wa kimkakati.
Na cha mwisho kabisa kwa masikitiko makubwa nitoe rai yangu.
Hili la bajeti wamejitahidi sana kutueleza jinsi fedha hazikufika katika miradi wa bajeti iliyopita ,ningefurahi na kuwaona smart kama wangekuja na njia safi za kuongeza mapato yetu tukapata fedha nyingi zaidi ambayo inge cover kile kilichopelea
Angalizo kwa huu mwenendo huu mnaokwenda nao mtapoteza mamilioni ya watanzania waliokuwa na imani kwenu. Maana kwa utafiti wangu wa kila siku bwana JPM anajizolea wanachama wenu