wale wapenz wa kutangaza "tasnia ya habari" naomba munikosoe ktk hii clip na maoni ni muhimu pia

anonymousafrica

JF-Expert Member
Aug 24, 2016
611
639
me ni mwanafunzi wa mawasiliano yaumma na uandishi wa habari RUVUMA..... video yake ni kubwa sana ndiomaana nimeweka link... naomba kukosolea na maoni kuanzia style ya mwanzo wa habari mpaka jisi ya kutangaza kwangu.

 
Naomba nikiri kuwa sijasikiliza hiyo video yako, lakini nilikuwa najiuliza taauluma hiyo unajisomea mwenyewe au umejiunga na chuo maalumu. Ninafikiri kuwa wabobezi wazuri kukusikiliza ni hao wakufunzi wako. Hata hivyo kila la heri kwa watakao kusaidia humu.
 
Sikukatishi tamaa,msomaji wa habari unajitikisa tikisa sana tulia maana kujitikisa ni ishara ya kuto jiamini, lakini pia facial expression yako haiko vizuri huangalii camera kiufupi umejaribu ila bado sana kuvutia hadhira
 
Back
Top Bottom