Kama inavyoonekana kwenye picha kalamu nyingi za aina ya BIC huwa kifuniko chake kimetobolewa, sasa unafahamu ni kwa nini?
Kama haufahamu sababu ni kwamba kuna watu ambao hutafuna hivi vifuniko...
Naiangalia hii filamu kwa sasa, kuna sehemu kubwa tu wanaongea Kiswahili na kuna wamasai..... Ni Kama wana mission ya kwenda kwenye mlima wa mungu. Na Kama kawaida Yao hawa warangi wamesema tu...
Habari wakuu! Nisaidieni mwenzenu, nimetumia dawa za hospitali za kutibu amoeba naona hazinisaidii sana. Naomba kwa anayefahamu dawa za asili (herbal medicine) za kutibu amoeba anijulishe. Asanteni
nimetumia mda mrefu kidogo kujaribu kufikiria juu ya ndugu zetu watanzania wenzetu wanavyokufa kibiti pwani na hofu ya wananchi pia wa huko ,, nawaza sana nn chanzo sipati jibu kabisa juu ya...
Asalam alaikum.
Uzi huu uhusike kwa walengwa pekee kwa ajiri ya kupeana taarifa za kufikia tamati ya mfungo wa mwezi wa Ramadhan.
Kama mjuavyo asilimia kubwa ya waislam leo ni Ramadhan 29,so ni...
Wakuu hali zenu,
Nafanya PHD kuhusu Art and modernity in East-Africa. Specifically, nataka kuona kwa kiasi gani new generations of musicians kama bongo flavor etc wanarespond kwenye maendeleo...
Inaelekea we hujui Chadema ni ya nani, Act wazalendo ni ya nani, so and so, au umeamua kujitoa ufahamu. Jiongeze kidogo utapata majibu.
laana tullaah..
Tumewapa heshima viongozi wengi wa nje kwa kuzipa barabara zetu majina yao kwa mfano barabara ya Mwai Kibaki, Barack Obama Kenyatta,nk nk....Lakini huyu kijana ambae angalau kwa siku za hivi...
habari za sikukuu ndugu zangu, naombeni mnisaidie nataka kwenda mbuga ya wanyama kuspend sikukuu hii ya eid na sehemu ninayotaka kwenda ni tarangire naombeni ambao mmeshafika kwenye hiyo mbuga...
When Oprah was nine she was raped by her nineteen year old cousin who was baby sitting her. This wouldn't be the only time she was sexually abused she would then be sexually abused by her cousin...
MBUNGE wa Jimbo la Hai na Kiongozi wa Kambi rasmi Bungeni,Mh ,Freeman Mbowe ametunukiwa cheti cha heshima na jamii ya Waislamu katika wilaya ya Hai kutokana na jitihada zake zisizo na ukomo katika...
wakuu zangu shikamooni wote. Naombeni mnisaidie moja kati ya maswali niliyokuwa ninajiuliza siku nyingi sana ya kwamba endapo Mungu angekuwa anatuuliza sisi wanadamu atupe nini kati ya hizi...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amesema mauaji ya polisi, viongozi na raia katika maeneo ya Kibiti, Rufiji na Ikwiriri ni ya muda na kusisitiza majibu yake yako mbioni...
Ni kalenda ya ajabu sana, sisi leo ni Tar 30/09/1438 wakati wenzetu wengine
ni Tarehe 01/10/1438, Niulize tu kwa wajuzi wa mambo hasa wale wa dini,
1.Kuna upande Mungu alianza kuumba kabla ya...
eti huwa nasikia masai huwa wanang`oana meno makusudi kwa sababu kuu mbili,kwanza ni kama urembo na ujasiri wa kung`olewa jino bila ganzi,na pili huwasaidia pindi akiwa mahututi hawezi...
Ebwana uzazi Nazi.Sasa hivi hawa vijana wangu wanavyonitesa ndio naendelea kuwapa heshima wazazi wangu juu ya uvumilivu wao nlipokua nalilia nguo za sikukuu bila kujali wapo kwenye Hali gani na...
Ni lazima kukaa kwenye mkeka au chini wakati wa kufuturu? Hayo ni mafundisho au ni mila tu yakawaida
Napata taabu kuona baadhi ya watu hujilamisha kukaa wakati wengine wakiwa hawajiwezi
Nawasilisha