Wale wazee mnaoshinda vijiweni kuogopa kudaiwa nguo za sikukuu majumbani mpo??

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
883
1,000
Ebwana uzazi Nazi.Sasa hivi hawa vijana wangu wanavyonitesa ndio naendelea kuwapa heshima wazazi wangu juu ya uvumilivu wao nlipokua nalilia nguo za sikukuu bila kujali wapo kwenye Hali gani na huku wakipretend kila kitu kipo sawa ili nsiumie,Heshima kwao Mungu awalipe pepo
Nw naona noma kurudi kwangu dogo msumbufu na mwaka huu halo sio haliii
[HASHTAG]#deni[/HASHTAG] la nguo za sikukuu halijawahi kumuacha mzaz salama
FB_IMG_14982883259281926.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_14982883259281926.jpg
    File size
    27.6 KB
    Views
    23

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom