Kwa Waislam kuhusu kufuturu

Bazilio

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
630
500
Ni lazima kukaa kwenye mkeka au chini wakati wa kufuturu? Hayo ni mafundisho au ni mila tu yakawaida
Napata taabu kuona baadhi ya watu hujilamisha kukaa wakati wengine wakiwa hawajiwezi
Nawasilisha
 
Bazilio

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
630
500
uislam ndio imani pekee inayoweka usawa kati ya tajiri na maskini

funga ya ramadhani huwa inawaweka karibu maskini na matajiri kwani wote hushinda bila kula.

kwenye kufturu walionacho hujumuika na wasionacho kwenye kufturu,mtu mwenye sofa la milioni tano hawezi jumuika na maskini kumi kwenye hilo sofa,kwani kumualika mtu futari ni ibada ya sadaka,itatafutwa sehmu yenye uwazi,ndani au nnje

hivyo umegeuka utamaduni kufturu nnje na chini kwa mjumuiko wa watu zaidi ya 5.Na hili ni fundisho kua siku zote tunatakiwa kula pamoja,sio ubinafsi unajifungia kwako na mappiza then humalizi unaenda kuyatupa jalalani,wakati jirani yako kalala njaa,hii imefanya hata wakristu wanakula ftari yetu japo hawajafunga,mwezi mzima wanasave,ingekuaje kama tungekua tunajificha,manake ukipita unakaribishwa,

hata kwenye kuzika utajiri utajiri wa muislamu haumpeleki kaburini,bali ni wale maskini na alioishi nao kibiinadamu,na sanda ya maskini ndo hio hio anavaa tajiri.

kifupi ni kua uko kukaa chini ni ishara ya usawa na kutokua na ubinafsi,ndo ukaitwa mwezi mtukufu wa Ramadhani,sababu wote tunashinda bila kula inakuaje kwenye kufuturu ukajifiche na BUFEE lako peke yako
Kukaa chini ni usawa kwa aliyenacho na asiye kuwa nacho hilo nalijubali kwa 100%
Kwa wasio jiweza kukaa chini ni ruhsa kukaa juu ya vit hapana ulazima wa kukaa chini
 
Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
7,268
2,000
uislam ndio imani pekee inayoweka usawa kati ya tajiri na maskini

funga ya ramadhani huwa inawaweka karibu maskini na matajiri kwani wote hushinda bila kula.

kwenye kufturu walionacho hujumuika na wasionacho kwenye kufturu,mtu mwenye sofa la milioni tano hawezi jumuika na maskini kumi kwenye hilo sofa,kwani kumualika mtu futari ni ibada ya sadaka,itatafutwa sehmu yenye uwazi,ndani au nnje

hivyo umegeuka utamaduni kufturu nnje na chini kwa mjumuiko wa watu zaidi ya 5.Na hili ni fundisho kua siku zote tunatakiwa kula pamoja,sio ubinafsi unajifungia kwako na mappiza then humalizi unaenda kuyatupa jalalani,wakati jirani yako kalala njaa,hii imefanya hata wakristu wanakula ftari yetu japo hawajafunga,mwezi mzima wanasave,ingekuaje kama tungekua tunajificha,manake ukipita unakaribishwa,

hata kwenye kuzika utajiri utajiri wa muislamu haumpeleki kaburini,bali ni wale maskini na alioishi nao kibiinadamu,na sanda ya maskini ndo hio hio anavaa tajiri.

kifupi ni kua uko kukaa chini ni ishara ya usawa na kutokua na ubinafsi,ndo ukaitwa mwezi mtukufu wa Ramadhani,sababu wote tunashinda bila kula inakuaje kwenye kufuturu ukajifiche na BUFEE lako peke yako
Kukaa chini sio alama ya usawa wala nini ni tamaduni za huko mashariki ya kati kwa sbb hawakua na mbao za kuchongea viti na meza.
 
Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
7,268
2,000
N
Lakini wakawa na mbao za kujengea ?
Japan hawana mgodi wa chuma lakini ni wazalishaji wakubwa wa bidhaa za chuma
Jiongeze kidogo
Ngoja nijiongeze. Nadhani tunazungumzia enzi hizoo na kipindi hiko nyumba zao zilijengwa zaidi kwa mawe.
 
1974hrs

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
744
1,000
Tunakubalia kula wima kunakatazwa kukaa juu ya meza kwa kufuturu nako kunakatazwa
Haikatazwi isipokuwa kwa idadi ya watu uliowaalika kufuturu kama wataka ufakhari na si ibada basi waandalie meza.
Nadhani umewahi kuona mialiko ya wapenda tv mara nyingi kwa kuwa hutaka fakhari na uwezo huo wanao utawaona juu ya meza na vijiko uma nk.
Japo futari yapaswa kuwa chakula laini.

Kwa hiyo lisikukwaze ndugu yangu karibu katika iiman ya haqi
 
1974hrs

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
744
1,000
Wanafuata tamaduni za dini ambazo nyingi ni za waarabu
Uislam hauna viti mpaka msikitini ikiwa ni ishara ya usawa na hata ukiwa tajiri kiwango gani ukiwakuta wenzio washakaa mbele basi utakaa nyuma haijalishi wewe ni nani la!

Ni kweli uislamu ulitokea uarabuni ila na ukristo unafuata mila za wazungu kwa kuwa walioueneza ni wazungu kwa kuwa kila mmoja alipokea kwa wakati wake hakuna sababu ya kubezana.

Note:
Si Yesu wala Muhammad waliotokea Afrika.
 
mndemeimran

Senior Member
May 7, 2017
111
225
uislam ndio imani pekee inayoweka usawa kati ya tajiri na maskini

funga ya ramadhani huwa inawaweka karibu maskini na matajiri kwani wote hushinda bila kula.

kwenye kufturu walionacho hujumuika na wasionacho kwenye kufturu,mtu mwenye sofa la milioni tano hawezi jumuika na maskini kumi kwenye hilo sofa,kwani kumualika mtu futari ni ibada ya sadaka,itatafutwa sehmu yenye uwazi,ndani au nnje

hivyo umegeuka utamaduni kufturu nnje na chini kwa mjumuiko wa watu zaidi ya 5.Na hili ni fundisho kua siku zote tunatakiwa kula pamoja,sio ubinafsi unajifungia kwako na mappiza then humalizi unaenda kuyatupa jalalani,wakati jirani yako kalala njaa,hii imefanya hata wakristu wanakula ftari yetu japo hawajafunga,mwezi mzima wanasave,ingekuaje kama tungekua tunajificha,manake ukipita unakaribishwa,

hata kwenye kuzika utajiri utajiri wa muislamu haumpeleki kaburini,bali ni wale maskini na alioishi nao kibiinadamu,na sanda ya maskini ndo hio hio anavaa tajiri.

kifupi ni kua uko kukaa chini ni ishara ya usawa na kutokua na ubinafsi,ndo ukaitwa mwezi mtukufu wa Ramadhani,sababu wote tunashinda bila kula inakuaje kwenye kufuturu ukajifiche na BUFEE lako peke yako
Umenyooosha waya.....shukran mkuu
Uislam njia ya haki na usawa
 
kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
4,297
2,000
Ni lazima kukaa kwenye mkeka au chini wakati wa kufuturu? Hayo ni mafundisho au ni mila tu yakawaida
Napata taabu kuona baadhi ya watu hujilamisha kukaa wakati wengine wakiwa hawajiwezi
Nawasilisha
Unahangaika nini na dini yetu?mbona Musa alivua viatu alipoenda kuongea na Mungu nyie mnatoka chooni na viatu hadi kanisani na mnaongea na Mungu Wenu?Mbona sie hatusemi kitu?Hamjiswafi mkienda kuongea wala kuabudu mnaenda na majanaba ya miaka na miaka sie hatusemi?Nyie mna dini yenu na siye tuna dini yetu,basi Tuacheni!
 
Bazilio

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
630
500
Unahangaika nini na dini yetu?mbona Musa alivua viatu alipoenda kuongea na Mungu nyie mnatoka chooni na viatu hadi kanisani na mnaongea na Mungu Wenu?Mbona sie hatusemi kitu?Hamjiswafi mkienda kuongea wala kuabudu mnaenda na majanaba ya miaka na miaka sie hatusemi?Nyie mna dini yenu na siye tuna dini yetu,basi Tuacheni!
Kufahamu ni kuzuri na kuuliza pia ni kutaka kujua naona baadhi ya watu wakihangaika kukunja miguu wakati kwa kuftari na kujilazimisha wasiyoyaweza ndo likaja hili la kufuturu ni lazima kukaa kwenye mkeka au jamvi kama dini ni yetu sote tunayoiamini
 
kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
4,297
2,000
Kufahamu ni kuzuri na kuuliza pia ni kutaka kujua naona baadhi ya watu wakihangaika kukunja miguu wakati kwa kuftari na kujilazimisha wasiyoyaweza ndo likaja hili la kufuturu ni lazima kukaa kwenye mkeka au jamvi kama dini ni yetu sote tunayoiamini
Mkuu kama unakitambi huwezi kukaa kwenye mkeka basi kaa kwenye kiti>samahani kama nimekukwaza!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom