Kalenda ya Kiislamu huku mwezi wa 9 kule wa 10

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,138
2,000
Ni kalenda ya ajabu sana, sisi leo ni Tar 30/09/1438 wakati wenzetu wengine
ni Tarehe 01/10/1438, Niulize tu kwa wajuzi wa mambo hasa wale wa dini,

1.Kuna upande Mungu alianza kuumba kabla ya mwingine?

2.Tunaambiwa mashetani wanafungiwa na kufunguliwa Ramadhani
inapoisha, Je huko kwingine wamefunguliwa na huku kwetu bado
wamefungiwa?

3. Pia inasadikika LailatulQadri ipo kumi la mwisho katika masiku ya Witri
Je, inakuwa siku moja au kila watu wana usiku wao wa Lailatulqadr?

4.Jaribu kuvuta fikra kuwa Mtume (S.A.W) yupo hai ndani ya jiji La Maka au
Madina na leo anawatangazia Idi ungesubiri Ruksa ya mtu mwengingine?
 
Kirchhoff

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,415
2,000
Halafu wakija wanatuuliza eti kwa nini kuna mgawanyiko katika ukristu. Na hawa wanaotofautiana wanachinjana. Bora yetu tunaosubiri uamuzi wa Haki wa Issa Al Masih.
 
chihe

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
260
500
Hawa ni watu wa hadithi.ht kitabu chao hakijitoshelezi bila maandishi tk biblia.hawa wameamishwa kila kitu kusema ndiyo.na ukiwashinda kwa hoja wanatumia nguvu
 
eng kiche

Member
Aug 18, 2015
92
125
Kwani dunia nzima leo ni jumapili? Ukishapata jibu katika hlo ndo utajua hicho unachokisema sio kuandika kitu kwa ushabiki pasi na kutaka kujifunza wenzako tumefanya kazi katika meli unakuta cku leo ijumaa ila mkifika sehemu mnaambiwa leo ni j5 inamana zile kazi zote ktk hyo cku mmefanya bure pia kuna cku mnafka mahala tayar wapo ktk cku za mbele dunia haiko sawa ktk masaa pia cku pia znatofautiana hiyo marekani tu kuna majimbo yanapishana siku pamoja na masaa mtafute mwanafunzi wa shule ya msingi atakuelewesha vizuri kwanini ipo hivyo kuliko kuwauliza waislamu.
 
Huu ni uongo hakuna ambako utakuta Ijumaa na sehemu Nyingine J'tano hapo ni mpishano tu wa jua
jambo ambalo ni la kawaida kabisa lakini si hili la Tz na Saudia ambako hata masaa tunafanana.
 
mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
1,955

Kwa hiyo unamaanisha kuwa kenya leo ni jumatatu? Naamini haujamwelewa mtoa mada.
 
SIERA

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,261
2,000
Huko wanapishana masaa, hapa leo ni J'pili na kule ni J'Pili lakini Tarehe ni tofauti.

Tofauti za kidini zipo kote so sioni ajabu Kwa hili... huko kwenu kila siku yesu anakufa tarehe tofauti.. wakristo wa Russia Christmas husheherekea january... so sioni ajabu hapo
 
eng kiche

Member
Aug 18, 2015
92
125
Huu ni uongo hakuna ambako utakuta Ijumaa na sehemu Nyingine J'tano hapo ni mpishano tu wa jua
jambo ambalo ni la kawaida kabisa lakini si hili la Tz na Saudia ambako hata masaa tunafanana.
Aya niache na uongo wangu mana haukusaidii k2 ila kama kuna m2 kashawahi kufanya kazi katika meli na kusafiri sehemu mbali mbali atajua ukweli wa hiki nachosema
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom