Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WANAWAKE katika Wilaya ya Kondoa, mkoani Dodoma wametakiwa kuondokana na tabia ya kujifungulia majumbani ili kupunguza idadi ya vifo vinavyotokana na uzazi. Kauli hiyo ilitolewa juzi na kiongozi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Yesu Kristo alipofufuka na kuwatokea Wanafunzi wake,Yesu akapaa mbiguni na kuwa ambia Wanafunzi wake kuwa wasifazaike anawaachia Roho Mtakatifu ambaye ataendelea kuwa fundisha yani kuwapa Mafunzo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Hebu leo tuwache makinikia na story za Lowassa pembeni tujadili kitu tofauti. Mimi kuna hili jambo linanitatiza sana kwetu sisi Waafrica na Watanzania haswa. Tabia ya kupenda kulaumu watu...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna mashindano ya Mpira ya COSAFA yanaendelea, Timu ya Taifa ya mpira wa miguu inashiriki na inafanya vizuri, ZBC2 Ya Zanzibar inaonyesha, lakini hii ZBC2 inapatikana katika king'amuzi cha Azam...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Sumbawanga. Mwalimu, Betson Sanga aliyekuwa akifundisha Shule ya Sekondari Milundikwa iliyopo wilayani Nkasi mkoani Rukwa amefariki dunia baada ya kunywa sumu akiwa katika nyumba ya kulala wageni...
2 Reactions
53 Replies
8K Views
Nilimsikia juzi boss wa Tanroad akisema "Hakuna kitu rahisi kama kutengeneza road signs kwenye tenda tunawaambia wakandarasi wajaze kibao road sign moja Tsh 500,000 akimika 20 Fedha tunapata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
'waache wafu wawazike wafu wenzao' maneno haya ya kwenye maandiko yanamaanisha hatutakiwi kuhangaika sana na wafu au marehemu kwa sababu wameshamaliza muda wao na hakuna kitu kinachoweza kuongeza...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Wale wenyej wa dar naomba kujua fika watu hawa wapo wapi..YAAN OFISI ZAO ZILIPO,, UNHCR,UNICEF,UNESCO,SMEC INTERNATIONAL.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Inasemekana kuwa duniani kote nchi ya Gambia ndiyo nchi pekee inayoingiza ' Watalii ' wengi wa Kike na nchi kupata ' mapato ' makubwa kutoka kwa Watalii hao kwakuwa wengi wao ( hao Watalii wa Kike...
5 Reactions
121 Replies
23K Views
Kama mnavyojua kuwa wapangaji hawana makazi ya Kudumu, na baada ya kufarakana kwa kosa dogo na mwenye Nyumba nimeamua kuhama. Kwakuwa sijamuibia MTU, wala kudaiwa kwa maana wengine wanadhani...
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Hivi serikali ipo wapi? Mbona wapiga debe hapa stendi ya Ubungo wanabughuthi sana abiria? Wanavutavuta abiria wanashikashika akina dada wengine wezi. Unakuta mwingine mchafu anakuja...
11 Reactions
73 Replies
6K Views
Wadau habari ya asubuhi? Mwenzenu nategemea kufungua stationery hivi karibuni na namshukuru Mungu nishapata mlango na nishaanza kuufanyia modifications ili ukae kistationary.. lkn changamoto...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari Wakuu, Napenda kuwakumbusha watu kuwa Mungu hayupo na shetani hayupo. Kwahiyo watafakari upya dhana ya dini na imani. Nashukuru.
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Huyu jamaa kiboko, hahaa
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Nimedokezwa ' Kiduchu ' na ' Mchunguzi ' mmoja kuwa takwimu ya haraka haraka tu ni kwamba kati ya Watanzania watano basi watatu wanapenda ' ushirikina ' na wanaenda sana kwa ' Waganga wa Jadi '...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimetafakari jinsi ninavyohangaika kutafuta mali hapa duniani lakini mwisho Wa yote ni KIFO, Yaani mwili unakosa UHAI, Mwili unatengana na ROHO Mwili unatengana na NAFSI. Nimejikuta nikijiuliza...
30 Reactions
117 Replies
11K Views
Kupaa Usiku Kwa Unya Wa Bawa La Mbuni Ni Raha Sana.Unachotakiwa Ni Kuzungumza Na Nafsi Yani Kimoyo Moyo Kwamba Unataka Kwenda Wapi Huku Umefumba Macho Na Kutamka Neno Flani Mara Idadi Ya Miaka...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Instead of chemical-filled toilet paper, try using a bidet instead. When choosing a toilet paper, be sure to read the label carefully to make sure it has no fragrances or dyes, and that it hasn’t...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
KAGERA: Basi la Kampuni ya Mohammed Classic lagonga Ng'ombe zaidi ya 30 katika barabara inayopita pori la Burigi. Abiria waliokuwa wakisafiri katika basi hilo linalofanya safari zake za Bukoba...
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Najiuliza ni hatua gani zitachukuliwa kwa wavulana walio chini yaUmri wa miaka 18 ambao watathibitika kuwapa mimba wasichana walioko shuleni. Jee na wao wataachishwa masomo ama watazuiwa kutumia...
0 Reactions
5 Replies
773 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…