Labda ni business strategy yao lakini, kwangu na labda kwa wengine pia mnaweza kuliona hili, ni kama kero tu, kwa uwepo wa utitiri wa kampeni zisizokwisha za promosheni za vifurushi vya kila...
WAKALA wa barabara Tanzania (Tanroads), umesema muda wowote kuanzia wiki ijayo wanatarajia kuanza utekelezaji wa kubomoa nyumba zilizowekewa alama ya X katika barabara ya Morogoro kuanzia Kimara...
Jana nilikuwa napitia video moja YouTube ikionesha mapokezi ya Rayvanny, cha kushangaza licha ya kuonekana kuna jua kali na watu kuvuja jasho lakini kuna ambao walivaa makoti ya baridi.
Ukiacha...
Nimeona kipindi hiki kila mtanzania ana mtazamo au mawazo kuanzisha kajitaasisi au foundation na hata NGOs na lengo la kuwa mmiliki wa hiyo organization.
Kuwa na taasisi nyingi zisizo za...
Wakuu habari zenu
Nakerwa sana na haka kajitabia kakishetani ka watu kulalamika kuombwa msaada humu jf,yaani hii tabia imekithiri mpaka mnadiriki kuwataja watu waliowafa kuwaomba msaada shameee...
Kuanzia kesho oryx gas zitauzwa
15 kg =44"500 badala ya 50"000
6kg =18"500 badala ya 21"000
Sijapata taarifa za mihani nao wanashusha ntawaletea
NB
BEI HIIZI N KWA WALE WANAONUNUA MZIGO...
Jeshi la polisi mkoa wa kipolisi Temeke linawashikilia wasichana kumi na mvulana mmoja waliokutwa wakiwa wamevaa nusu uchi katika fukwe za Coco Beach na kudaiwa kujihusisha na vitendo vya ukahaba...
Rais Magufuli pole na kazi nachukua fursa hii kukukaribisha Mbeya mjini hasa hapa uyole ukija nitakuonyesha eneo la soko ambalo serikali ililipa fidia tangu miaka ya 1970 na wajanja wachache...
Haieleweki lengo la manispaa ni kuongeza mapato au kukomoa hawa madereva wanaofanya hii kazi kupitia mtandao wa Uber..
Watu wa jiji acheni mambo ya kizamani na mfanye kazi kisasa, sidhani kama...
Mtoto mmoja mwenye umri wa miezi minne ameibiwa katika mtaa wa ustawi wa jamii kata ya Nyamanoro wilayani Ilemela Jijini Mwanza.
Imeelezwa kuwa watu waliomuiba mtoto huyo wamemchukua mama mzazi...
Katika kuadhimisha ni siku ya ugonjwa wa homa ya ini duniani, imeelezwa kuwa mtu moja kwa kila wiki hupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo katika Hospitali Teule ya wilaya ya Sengerema.
Hayo...
SHEKHE Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Mufti Abubakari Zuberi.Pamoja na kuwashukuru madaktari na wauguzi kwa juhudi kubwa wanazofanya kunusuru maisha ya watu.
Mufti aliwatembelea...
Lazima tukubali Kenya ina sangoma viboko ile mbaya.
Mifano:
1. Kama mke au mume wako anachepuka basi sangoma wa Kenya wana dawa zakuwafanya hawa wachepukaji kunasiana wakati wa tendo la ndoa...
Wadau,
Leo usiku kucha paka wamekesha wakikimbizana juu ya paa. Kuna mpera umeinamia juu ya bati mpera yakiiva yanaanguka juu ya bati huku yakitoa sauti kama panya anakimbia. Sasa sijui paka...
Baraza la taifa la usajiri wa zahanati binafsi na za umma wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto linamsaka daktari feki wa zahanati ya meno msasani jijini Dar es Salaam na...
Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba kiongozi huyo wa Simba FC Aveva anashikiliwa polisi urafiki kwa tuhuma za rushwa. Anashikiliwa na TAKUKURU tangu juzi kwa tuhuma za rushwa. Hakuna ufafanuzi...
Mtalii huyo kutoka mkoa wa Jiangxi, alikuwa akijaribu kuvaa bangili hiyo kwenye duka moja lililo mkoa wa Yunnam karibu na mpaka na Myanmar.
Mwanamke mmoja raia wa China alizirai akiwa kwenye duka...
Arusha. Halmashauri ya Jiji la Arusha imetoa ufafanuzi wa sare zinazotumiwa na askari wake zinazofanana za Idara ya Uhamiaji ikisema zimepitishwa kwa kuzingatia utaratibu wa ulinzi.
Imeelezwa...