Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,863
- 14,350
Hayo yameanzishwa na kanisa katoliki wengine wanafata tu bila kuelewa wakati origin yake ni Vatican.
Marathon imetokana na neno Mariathon ikiwa na mana ya pale mama maria alipomkimbiza mwanae yesu mpaka misri ili asidhuliwe na herode. Hivyo imekuwa modified tu na kuitwa marathon while originally ni mariathon.
Valentine nalo historian ni ndefu na limetoka hukohuko kwa wakubwa Wa dunia I.e kanisa katoliki.
Kwa hiyo dunia nzima tuko kwenye cobweb ya kanisa hatufurukuti hata maneno BC(before Christ) na A.D(anno domino) ni mulemule.